Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
Je ungekuta kuna meseji za ajabu si ingekuwa balaaKufa sifi ila cha moto nakiona
Dah..bila hata ya salamu? ...Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
Hilo jibu limekupa faraja eenh..!Kabsaaa popote ulipo bhna kunywa soda nitalipa
Twiny. Kwani mume akitoka nje ya ndoa unahisi nini anakikosa kwako? Labda huna lugha nzuri. Labda hujui kupika au labda kiungo chako cha siri ni kikubwa sana na hakipigwi deki mara kwa maraKitu gan na kwa nn alinioa kama kuna vitu havipati kwangu
Hahahaha nimekumiss babuSiku hizi hunimisi kabisa. Sijui kwanini wallah
Naomba uwe classmate wangu kwa hii DecemberHahahaha nimekumiss babu
Hahahaha classmate tu usijalu babuNaomba uwe classmate wangu kwa hii December
Usihofu huyo mumeo alikuwa kuwadi enzi enzi !bado anaendelea kuwakuwadia hao wake za watu na ukijilegeza hata wewe anaweza kukukuwadia kwetu!Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
Kwan wanaume mna maan basi ni basi tu tunawabeba hvo hvo mlivo ilimradi siku ziendeWatu tupo kwenye magroup yote,kuanzia primary,sec mpakq chuo,wacha magroup ya tuition Kwa Aiden na discussion,sasa hapo nitakuwa na namba ngapi??na kinaachoonekana uko interested na namba zilizoandikwa mqjinq halisi,kama mumeo anachepuka kweli hawez kuweka namba ya mchepuko Kwa jina lake,,ataweka hata fundi Juma,,
Hahahaha