Simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu, ukimuuliza anasema ni classmate zake

Classmates zaidi ya Watatu unawasiliana nao nini???
Kaka angu inaonekana unajielewa sana bhna girl wako ana raha sana lkn miananue mingine sijui inajua kuwa na wnawake wengi ndo uanaume huo me nawambia watapata tabu sana tena siku ya kiama
 
Ndio, ni classmates wake shule sio darasan hata mtaani ni shule, kazin ni shule etc
 
Kwa hiyo nilivyokujibu chumbani hujatosheka mpaka unauliza uwanjani jamani.
 
Back
Top Bottom