Simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu, ukimuuliza anasema ni classmate zake

Unakagua simu ya mumeo unapata pressure ..unakufaa..classmate wanaendelea kuchat nae kama kawa
 
We ujui tu kaka
Sijui nini sasa?We kama mtundu mmeo hawezi anza kula kwa mama ntilie.Jitazame kwanza kam unaweka jitihada za kutosha.Mpe kitu moyo unataka plus change.JIONGEZE habari za kuhoji majina ya kwenye simu ni kumtia genye zaidi
 
Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
Na wewe save classmates na.uanze na mimi classmate wako wakaribu kabisa
 
Sijui nini sasa?We kama mtundu mmeo hawezi anza kula kwa mama ntilie.Jitazame kwanza kam unaweka jitihada za kutosha.Mpe kitu moyo unataka plus change.JIONGEZE habari za kuhoji majina ya kwenye simu ni kumtia genye zaidi
Yallah basi poa
 
Back
Top Bottom