Simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu, ukimuuliza anasema ni classmate zake

Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.

We Twiny si juzi tu hapa ulisema unatatizo la kutopata mtoto, huenda mwenzako anatafuta kujua shida ipo kwako au kwake
 
Dawa yake fanya hivi contact muhimu Kama ya mama Dada na mdogo wako ziandike SWEETHEART,MYLOVE,HONEY,MY MOON,MY KILAKITU halafu ya kwake save CLASSMATE
 
Unataka tukusaidie nini sasa mama? Kuwatambua kama ni classmate wa mumeo au sio?
Hizi whatsapp groups nazo zimesababisha tuwe na namba nyingi za class mates. Kwani hamna na wa kiume? Au wewe unashida na hao wa kike tu?
 
Huyo itakuwa kuna kitu classmate wanawake tu ina maana yy alisoma girls school tu ilihali yy ni me?inatakiwa namba za hao classmate me pia awe nazo
 
Mbona wapo wengi tu, simu asilimia 80% imejaa wanawake hyo 20 ni masela kidgo na ndugu wengi.. Ukihangaika nayo utakonda na kihoro, na hapo usijaribu kwenda Watsup. Unakuta wote anachart nao mahaba. Hahaaa hao ndio wanaume mumy
Mbona hiyo 80% ni wanawake wenzio inakuwaje wewe humo
 
Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
Kama una hiyo namba ya mzew niwekee hapa . Nina ushauri tu kwake asi save kishamba hivyo mwambie mahali pa jina Jeni aandike John fundi Bomba
Lile la Lucy aweke Lucky dube
Hamisa aandike tu Boda boda Hamisi
Akifanya hivyo hii post utaidelete
Japo wewe ume save mama mdogo kibaha lkn ukipigiwa unatoka nje kusikiliza
 
shukuru yeye huyo kasave majina kamili ya wanawake anaonesha atleast si muongo kuna wenzio waandikiwa majina ya kiume tu kumbe wote ni mademu...na kuna masela wengine wana sim cards za siri na notebooks matata....mimi hapo naona ni mashaka yako tu
 
Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
Kwanini unapekua pekua simu yake? Unapata faida gani?
 
Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
Kwa uelewa wangu hiyo simu ni ya kwake mobile phone, unachokitafuta wewe ni kiherehere.

Wanawake wengi wa kitanzania huwa mnaongelea kupima HIV lakini kwa sasa kuna ulazima wa kufanya check up ya akili, research imenithibitishia pasipo na shaka yoyote Tanzania kuna idadi kubwa ya vichaa kuliko wale wanaoonekana dhahiri majalalani, ndoa nyingi zina wanandoa vichaa, na hizi ni dalili za ukichaa.
 
Back
Top Bottom