Simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu, ukimuuliza anasema ni classmate zake

Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
Sasa kama ameshakujibu ni classmates wake unataka nini?

Muwe watulivu kama nilisoma na wanawake nisiwe na namba zao kisa utaumia. Utakufa kwa wivu.

Cc @blaki woman
 
Hehehehe namchicha.... umenipotezea balaa. Au ushapata kamchepuko huko kwa Putin?

Ttatizo babu umewahi sana kwenda migombani, haina mbaya lakini labda baada ya mwaka mpya Mungu akijaalia uzima, ujumbe utakufikia.
 
Mume wa mtu unawasiliana na class mates wa kikee ambao mliachana miaka kibao iliyopita... huyo kuna jambo analo.. Chukuaa sajili namba nyinge alafu save hiyo namba Class mate kama alivyosave yeye kwenye simu yake then mtxt kimahabaa uonee atajibu vip...
Kabsaaa popote ulipo bhna kunywa soda nitalipa
 
Ndio ni classmates,
Au alisoma Boys tupu kuanzia vidudu mpaka chuo (kama alifika)??
Basi hyo ajabu kweli yan na mim nikisema nianze kuchukua namba za boy wote nilio soma nao tutafika kweli
 
Back
Top Bottom