Simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu, ukimuuliza anasema ni classmate zake

Mume wa mtu unawasiliana na class mates wa kikee ambao mliachana miaka kibao iliyopita... huyo kuna jambo analo.. Chukuaa sajili namba nyinge alafu save hiyo namba Class mate kama alivyosave yeye kwenye simu yake then mtxt kimahabaa uonee atajibu vip...
Imeandikwa usimjaribu bwana Mungu wako.

IMG-20181210-WA0023.jpeg
 
Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
My dear, utakufa kwa uchizi, msongo wa mawazo,wivu love ur man,be a wife,mother to ur man and nothing else. Case closed
 
Sasa kama ameshakujibu ni classmates wake unataka nini?

Muwe watulivu kama nilisoma na wanawake nisiwe na namba zao kisa utaumia. Utakufa kwa wivu.

Cc @blaki woman

hahahaha yero yamekuwa hayo

phone book majina ya kike pekee aise jamaa mkali, simu ni majanga kwenye ndoa mie wala sihangaiki na simu ya mtu
 
Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
Na wewe jaza ya wanaume mwambie ni college mate..!
 
Weka wanaume kwenye yako halafu akikuuliza unamwambia ni mnafanyanao kazi na wengine ni mabinamu nawewe umeenda kumchunguza bata hutamla mama wanaume nikuwapa majukumu sio kuangalia simu unafanyaga kazi gani tofauti ya kuangalia hii simu yake??
 
Dada kama huna ushahidi kwamba mumeo anacheat . Acha kujipa stress, wanaume hatuoendi kero . Utampoteza bure mumeo. Ipoteezee tu simu yake!
Ukiweza chukua namba moja ya classmate mfanye rafiki yako then muite hapo home. Ukweli utaujua.
 
Umeishia kuangalia majina tu? sms hukuchungulia kidogo? Ukitaka kumchunguza mpenz wako uwe umejiandaa kisaikolojia unaweza ukapata heart attack kwa vitu utavyokutana navyo
 
Back
Top Bottom