Simu ya mkononi

Wadau nashukuru kwa ushauri wenu nampenda sana mke wangu ila anakatabia cha kupenda kuchat kupita kiasi mpaka napata presha ndio maana nataka niwe naziona meseji anazochat ili nijilizishe kama ndege wangu yupo salama

binadamu huwa hachungwi
 
sema unatafuta mbinu ya kumuacha. unataka hata umbea wa shoga ake uujue. hata kama wanachat kuhusu salon, kutengeneza kucha n.k unataka ujue pia. DAIMA MWIZI HUWA HAMWAMINI MWIZI MWENZIE
 
Kushauri kama ni swala hili la mkeo tumia busara zingine!
 
Back
Top Bottom