Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,063
Inaweza kuwa pia ni siasa maji taka, au sio?
Naweza kubaliana nawe, lakini kwa nchi hiyo kuna siwezi kukaidi kwani kuna maajabu zaidi ya hayo nimewahi shuhudia.
Inaweza kuwa pia ni siasa maji taka, au sio?
milioni 25,ina maana yeye hatumii yatosha?.maana kwa pesa hiyo,ina maana anaongea mda wote wala hana mda wa kulala hata sekunde
Corporate hawana Vifurushi hivyo. Hata hivyo gharama hiyo ni kubwa kwa matumizi ya kawaida, labda alikuwa kwenye data (Internet) full time!milioni 25,ina maana yeye hatumii yatosha?.maana kwa pesa hiyo,ina maana anaongea mda wote wala hana mda wa kulala hata sekunde
Jikite kwenye mada sio unaleta zakuleta,oh makhalifa oh we terrorize zaidi zaidi kinachachokusumbua ni udini hauna hoja unaloloja tu.Unajuwa Kiingereza gaidi ni terrorist, sasa kama kuna polisi halafu awe hawezi kum terrorize mwizi huyo atakuwa si Polisi.
Waislam ni makhalifa hapa duniani, mkituona mnatuogopa "we terrorize you", hivyo ndivyo anatakiwa khalifa awe. Lazima umuogope.
Jikite kwenye mada sio unaleta zakuleta,oh makhalifa oh we terrorize zaidi zaidi kinachachokusumbua ni udini hauna hoja unaloloja tu.
NB Unauliza kama najua kingereza au najuwa?
Kama kiswahili chenyewe kinakupiga chenga na hupo jikoni Kariakoo hicho kingereza itakuwaje?
Naweza kubaliana nawe, lakini kwa nchi hiyo kuna siwezi kukaidi kwani kuna maajabu zaidi ya hayo nimewahi shuhudia.
Ha ha haa! hiyo wanaiita streaming video, inakula helaaaa...Masaa 24? Mbona 25m/- ni cha mtoto. Kaazi kweli kweli! On a serious note, Mawaziri tunao 60+...kama kila Waziri anatumia 25m/- kila baada ya siku 52, Mawaziri 60+ watatumia ngapi kwa mwaka? Kwa hesabu za haraka haraka ni Tshs. 25,000,000 X 60 X 365 / 52 = Tshs. 10,950,000,000/= (karibu bilioni kumi na moja kuangalia streaming video!)Labda ana download picha za porn. Na yeye si ni binadamu kama wewe tuu
Ha ha haa! hiyo wanaiita streaming video, inakula helaaaa...Masaa 24? Mbona 25m/- ni cha mtoto. Kaazi kweli kweli! On a serious note, Mawaziri tunao 60+...kama kila Waziri anatumia 25m/- kila baada ya siku 52, Mawaziri 60+ watatumia ngapi kwa mwaka? Kwa hesabu za haraka haraka ni Tshs. 25,000,000 X 60 X 365 / 52 = Tshs. 10,950,000,000/= (karibu bilioni kumi na moja kuangalia streaming video!)
How can it be possible ?
Kua makini dogo!!
Wakati mimi siku nyingine nakosa hata jero la kujiunga. Nikipga mahesabu kwa mwezi natumia elf kumi.
Halafu ukipiga hesabu gharama za zile maabara wanazochangishwa kwa nguvu masikini na kunyang'anywa kuku na mbuzi wao unapata hasira kweli
Kwa kweli MTU wa kawaida au yeyote ambaye sio mwizi wa Mali ya umma na anaiunga Mkono serikali ya ccm lazima atakuwa na mtindio wa akili
Hatushangai, wewe na yeye ni waswahili wa pemba, mnavaa vilembaJee, zimelipwa au ni Invoice iliyoletwa kimakosa? maana haiingii akilini.
Sitoshutumu mpaka nisikie 2nd and 3rd party (Airtel na Hawa Ghasia) wakitoa ufafanuzi.