Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 5,954
- 11,941
Madukani zunguka utafute. Hata account za IG zinazouza simu unatafuta utakuta huko bei tofauti tofauti lakini zina range hapo 1.2M hadi 1.4MWap inapatikana kwa 1.2m
Madukani zunguka utafute. Hata account za IG zinazouza simu unatafuta utakuta huko bei tofauti tofauti lakini zina range hapo 1.2M hadi 1.4MWap inapatikana kwa 1.2m
Mambo vipi wadau!
Naomba mchango wenu kimawazo kuhusu simu yenye camera nzuri kwa ajili ya matumizi ya kupigia picha na video za kupost kwenye page yangu ya biashara ya instagram, tiktok na mitandao mingine ya kijamii.
Ni Biashara ya salon ya kike, na kama mnavojua biashsra hii picha zina umuhim mkubwa.
Budget yangu ni 1.3M. So unapochangia naomba unitajie kulingana na hiyo budget.
Karibuni
Hivi moto wa xiaomi hua mnauchukuliaje labda, toka mwaka 2018,mpka leo xiaomi hatoki kwenye top 3 best phone brand mpka leo, sasa kuwa underate hivo mnatumiaga kigezo gani? Au kwa kua hamzikuti kariakoo zimezagaa ovyo na hamjui kwa kuzipata ndio mnaziponda, mie maisha yangu yoote nitabaki xiaomi daimaSawa mkuu ila ni bora kwenda ktk brand hizi tatu, Google Pixel, Samsung na Iphone kuliko hiyo xiaomi yako.
Kama upo makini utaona Xiaomi na akina Vivo ni kama mtu na kaka/dada yake. Si unaona hao wawili walivyomuacha mbali?Hivi moto wa xiaomi hua mnauchukuliaje labda, toka mwaka 2018,mpka leo xiaomi hatoki kwenye top 3 best phone brand mpka leo, sasa kuwa underate hivo mnatumiaga kigezo gani? Au kwa kua hamzikuti kariakoo zimezagaa ovyo na hamjui kwa kuzipata ndio mnaziponda, mie maisha yangu yoote nitabaki xiaomi daima
?Miamba ho. Hakuna ubishi.1. Chukua Pixel Pro kuanzia 7 pro kwenda mbele, balaa la Google Pixel kwenye Camera sio dogo kabisa.
2. Chukua Samsung S23 Ultra.
Samsung hata kwenye kiza bado wanakutolea picha moja kali sana sababu Camera zake zina Laser, Pixel ana laser kwenye baadhi ya simu zake, kwenye kiza ile laser inafocus kwenye object, inatoa picha moja ya moto sana. Hii laser Iphone hawana kabisa.
3. Iphone 13 pro Max.
Iphone huwa anakoleza rangi kwenye picha na video ndo maana wadada wanazipenda pamoja na brand.
Overall, matoleo ya Google ukisikia Pro, hasa kuaniza 6 hadi 10 OGOPA SANA ENEO LA CAMERA, Samsung ukisikia S23 sijui S24 Ultra, HUO NI MOTO MWINGINE kabisa upande wa Camera.
Iphone hafui dafu mbele ya jamaa hao wawili.
Duh! Anaichukuli poa hio chombo.Hivi moto wa xiaomi hua mnauchukuliaje labda, toka mwaka 2018,mpka leo xiaomi hatoki kwenye top 3 best phone brand mpka leo, sasa kuwa underate hivo mnatumiaga kigezo gani? Au kwa kua hamzikuti kariakoo zimezagaa ovyo na hamjui kwa kuzipata ndio mnaziponda, mie maisha yangu yoote nitabaki xiaomi daima
Tatizo wauzaji wengi wa mitandaoni clone na used phone zilizochoka.. hakuna simu iliyoghushiwa km Samsung..Madukani zunguka utafute. Hata account za IG zinazouza simu unatafuta utakuta huko bei tofauti tofauti lakini zina range hapo 1.2M hadi 1.4M
Naona vivo na oppo wamemkimbiza Apple, safi kabisa.Samsung na camera?View attachment 3533265
Yaani Apple kinachomsogeza hapo juu ni video sababu ipo vizuri sana, lakini kwa upande wa picha kashaachwa maili nyingi, siku Huawei, Oppo, Vivo na brand nyengine kubwa za Android wakimkata iPhone kwenye video, ikibaki top 10 bahati yakeNaona vivo na oppo wamemkimbiza Apple, safi kabisa.
Ha ha ha aya bhaana.Yaani Apple kinachomsogeza hapo juu ni video sababu ipo vizuri sana, lakini kwa upande wa picha kashaachwa maili nyingi, siku Huawei, Oppo, Vivo na brand nyengine kubwa za Android wakimkata iPhone kwenye video, ikibaki top 10 bahati yake