Yoso
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,638
- 2,824
Nasikia hizi zikiharibika hazina spare kwa hapa TanzaniaHaya kamata flaship ya mjapan sharp acqous R6
Nasikia hizi zikiharibika hazina spare kwa hapa TanzaniaHaya kamata flaship ya mjapan sharp acqous R6
ni kweli bt ni cm hatari sn inakula sahan 1 na kna samsung note, s series.Nasikia hizi zikiharibika hazina spare kwa hapa Tanzania
Kwahy sisi tunaotumia infinix sio watu 😤Mtu atoe 1m akuchukue simu yenye undugu na infinix/tecno kweli?
Tafuta shamba kaifukie hiyo Infinix, ni mbolea hiyo kwenye mimea.Kwahy sisi tunaotumia infinix sio watu 😤
😂😂Tafuta shamba kaifukie hiyo Infinix, ni mbolea hiyo kwenye mimea.
Unanunua brand nzima au simu mojawapo kutoka kwenye hizo brand?Sawa mkuu ila ni bora kwenda ktk brand hizi tatu, Google Pixel, Samsung na Iphone kuliko hiyo xiaomi yako.
Hapa umeanzisha ugomvi mwingine !Iphone hafui dafu mbele ya jamaa hao wawili.
Mleta mada amesema anataka simu yenye kamera nzuri kwa milioni 1.3Nimesema 7 pro kwenda mbele.
Simu yako imenishinda love inakula data balaa afu haina some emojis nizozizoea achilia mbali kunishinda kuitumia!
Pole sana, utazoea sweetheart...Simu yako imenishinda love inakula data balaa afu haina some emojis nizozizoea achilia mbali kunishinda kuitumia!
Siitaki mi siwezi kuitumia!Pole sana, utazoea sweetheart...
Hiv kuna simu inakula data kuliko nyingine?Simu yako imenishinda love inakula data balaa afu haina some emojis nizozizoea achilia mbali kunishinda kuitumia!
Nimerudi kwenye ki my itel mimi
Milioni 1.3??? iPhone 17 Pro Max???iPhone 17 Pro Max hakuna simu kama hii
Sasa simu nzuri utapata kwa 1.3m? Nyi wapuuzi mnatuchosha acheni mambo ya kipumbavuMilioni 1.3??? iPhone 17 Pro Max???
Soma uzi
Dunia nzima inajua kuna simu nyingi tu nzuri za hiyo budget, kwamba Samsung Galaxy S24 FE ni simu mbaya? Au Xiaomi 15T ni simu mbaya? Unafuatilia hata review za simu wewe?Sasa simu nzuri utapata kwa 1.3m? Nyi wapuuzi mnatuchosha acheni mambo ya kipumbavu