Simu ipi ya tecno iliyo bora, naomba ushauri

Simu ipi ya tecno iliyo bora, naomba ushauri

Mimi watu siwaelewi kabisa. Wanashabikia Samsung wakati wanaona bei ipo juu. Simu ya tecno ya laki moja ina specs same na Samsung ya laki nne.

Kwa hiyo pesa yako unapata simu nzuri tu za Tecno. Jaribu c5 au J7. Zina spec nzuri. Kama unataka ya bei ndogo, beba Tecno H6. Hii simu nzuri sana, mimi natumia mwaka wa pili sasa.

Simu za Samsung zenye specs kama hizo zinaanza 300k kwenda juu. Wenda kama unanunua kwa mtu unaweza kupata kwa bei ya chini.

Kama pesa ni ya Tecno, chukua tu. Watu wamezoea kusema ni mchina lakini zipo poa sana. Suggestion; j7, c5. Mimi ndo nilishawahi zitumia, now nipo na H6 pamoja na iPhone 6. Lakini bado H6 naitumia sana.

-callmeGhost
kweli kabisa
 
Wabongo washamba sana! Unasema samsung ndio simu nzur kuliko tecno kwa kingezo gan?
Kuna kitu kina itwa marketing discuss making, unaenda dukani unasema nataka tv ya pansonic bt muuzaji anakwamie kuna tv inaitwa sony ni nzur sana vitu vya kisasa sana lakin mteja yeye anataka pansonic hataki kujua uzur wa sony, sasa wabongo wengi wanaamini kitu vulan ni kizur kuliko kingine bila ushaidi na uchunguzi yeye anakwambia samsung ni nzur hata kama inasepecification dogo
Mtu anakwambia iphone ni nzur kuliko samsung kwa kigezo kipi? Au bei ya iphone ndio inaonesha kitu kizur?
 
Mimi watu siwaelewi kabisa. Wanashabikia Samsung wakati wanaona bei ipo juu. Simu ya tecno ya laki moja ina specs same na Samsung ya laki nne.

Kwa hiyo pesa yako unapata simu nzuri tu za Tecno. Jaribu c5 au J7. Zina spec nzuri. Kama unataka ya bei ndogo, beba Tecno H6. Hii simu nzuri sana, mimi natumia mwaka wa pili sasa.

Simu za Samsung zenye specs kama hizo zinaanza 300k kwenda juu. Wenda kama unanunua kwa mtu unaweza kupata kwa bei ya chini.

Kama pesa ni ya Tecno, chukua tu. Watu wamezoea kusema ni mchina lakini zipo poa sana. Suggestion; j7, c5. Mimi ndo nilishawahi zitumia, now nipo na H6 pamoja na iPhone 6. Lakini bado H6 naitumia sana.

-callmeGhost
Tecno ubaya wake zinakua na specifications nzuri ikiwa mpya ila unapoitumia inapungua performance kila siku kama hujui mchina ni mchina tu
 
tecno ni bonge la simu tukianza na ukaaji wa chaji huwez fananisha tecno c8 na samsung s4 samsung ni kama pasi unatumia ikiwa kwenye chaji kama unabisha njoo sasa
Ndio maisha ya mjini unanunua gari unahofia kuweka mafuta? Unataka sim Inayokaa na charge ili iweje sasa basi nunua Nokia 1200
 
Hata usiumize kichwa kanunue tacno kuanzia toleo la techno c5 mpk techno n8 zote ni nzuri na ndy smartphone inayovumilia maisha ya mtanzania na tecno c5 huwezi kupata mpya labda used au kwenye duka lisilokuwaga na wateja ila ni nzuri sana.
Zpo c5 nying tu,Ila hazina wateja sana,na nadhan weng hawajajua uzir wake,,,Ukitaka tecno inayovumilia chaji BA's L8/L8+ na ukitaka utamu nenda kwa j8 murua kabsa
 
Tecno W5 LTE ingekua Samsung bila shaka ingeuzwa kuanzia 800k Tecno unaipata kuanzia 260,000 hadi 250,000 uamuzi ni wako Mkuu.
 
HATA
Techno 6 plus "phanthom" ndiyo kila kitu. Iko nzuri kuliko hizo Samsung munazozizifia!!!

me nna mpango wa kuinunua hii ivi bei sasa hivi zipoje, na naomba unipe experience yako since umeanza kuitumia
 
Tecno W5 LTE ingekua Samsung bila shaka ingeuzwa kuanzia 800k Tecno unaipata kuanzia 260,000 hadi 250,000 uamuzi ni wako Mkuu.
ni kweli mkuu mimi natumia hii cm W5 LTE naenjoy sana na hii simu
 
Tecno W5 LTE ingekua Samsung bila shaka ingeuzwa kuanzia 800k Tecno unaipata kuanzia 260,000 hadi 250,000 uamuzi ni wako Mkuu.
kwa hio bei si unapata grand prime + ambayo nayo ni kimeo cha mediatek vile vile ukizicompare utaona kuna sehemu kibao Tecno kapitwa.

mfano
-grand + ina ram 1.5gb compare na 1gb ya Tecno
-soc yake ina perfomance zaidi ya Tecno, grand prime ina 1.4ghz cortex a53 mediatek mt6737 compare na 1.3ghz mt6735
-utapata build quality nzuri ya samsung
-probably camera na battery viwe vizuri zaidi kwenye samsung

sasa wewe kwa hio hio hela yako unanunua simu yenye specs ndogo halafu unajiona bab kubwa kumbe kuna simu ina specs kubwa kwa bei hio hio.

na samsung kidunia wana low end mbaya, ukiona umepitwa na samsung kwenye low end ujue na wewe pia ni kimeo vile vile.
 
Hahahah
 
nenda mobile plaza duka za Tekno upate Tekno Kali, mabadiliko ni kujapatia tekno Kari, kuliko ile ya duro
 
Tecno zipo vizuri tu nimatumizi ya mtu husika. Kila aina ya simu haikosi matatizo ukitaka kuamini nenda kwa mafundi simu utaona simu tofauti mbovu mbovu sio tecno pekeyake mimi natumia Tecno y6 ipo vizuri sana na nimiaka mingi sasa iko powa.
 
f1ba8de3d749810a6e2e0a0a72f77cca.jpg
 
Swali limeulizwa kua ni Simu ipi nzuri ya techno.Acheni kujishaua na wakati mwenye thread anataka Techno.
 
Back
Top Bottom