Simu ipi ya tecno iliyo bora, naomba ushauri

L8 Ram ni 1 Gb na ni 230,000.L8+ ni 2Gb Ram na ni 250,000.
 
HATA

me nna mpango wa kuinunua hii ivi bei sasa hivi zipoje, na naomba unipe experience yako since umeanza kuitumia
Mimi nilinunua tshs 750,000. Hizi fedha ziliniuma lakini sijutii kwani simu ni nzuri. Ina memory kubwa tu (64gb) na kamera zake zote mbili zinatos clear pictures. Tatizo ninaloona ni kwsmba sijsjua nsmns ys kuhamisha picha ndani ya simu hii kutoka folder moja kwenda jingine. I love my tecno phsnthom 6 plus
 
Simu ya laki mbili na sabini mpka laki 3 ya tecno hizo Samsung za laki 4 zinaomba pooo... Kikubwa kitakachishinda tecno ni quality ya kamera bas
 
Hata samsang ya laki Tisa haifui dafu kwa hyo simu yak
 
Mnaoponda tecno nawashangaa sana, me sasa hivi natumia tecno J8 baada ya kupoteza Samsung note 3. Lakini tangu nihamie J8 sijawahi kui-miss ile note 3 maana vyote nilivyokuwa napata kwenye note 3 vipo kwenye J8, sometimes watanzania tunajifanya wajuaji matokeo yake tunapoteza pesa nyingi kwenye vitu visivyo na msingi. Mwengine anataka kununua simu ya million 2 lakini hakuna anachofanya katika hiyo simu zaidi ya kuingia fb,JF na instagrama vitu ambayo angeweza kufanya kwa simu ya laki 3. Tuacheni maisha ya maigizo jamani leo umepata pesa itumie vizuri huwezi jua kuhusu kesho
 
Acha uwongo boss!!We unaijua note3 wewe?
 
Simu ya laki mbili na sabini mpka laki 3 ya tecno hizo Samsung za laki 4 zinaomba pooo... Kikubwa kitakachishinda tecno ni quality ya kamera bas
J7 kwa camera iko vizuri sana
 
Tecno ubaya wake zinakua na specifications nzuri ikiwa mpya ila unapoitumia inapungua performance kila siku kama hujui mchina ni mchina tu
Ilo si kweli coz simu zote zinakuwa na processors ambazo zinafanana kote sasa ilo la tecno kupunguza nguvu linatoka wapi? Facts ni simple ukiweka application nyingi kwny simu nguvu inapungua ukiformat inakuwa mpya tena
 
e8ea0d0b45229783b834b526f4d0b2b6.jpg
phantom 6plus
 
Ilo si kweli coz simu zote zinakuwa na processors ambazo zinafanana kote sasa ilo la tecno kupunguza nguvu linatoka wapi? Facts ni simple ukiweka application nyingi kwny simu nguvu inapungua ukiformat inakuwa mpya tena
Katika kila type of mashine kuna kitu kinaitwa Depreciation sio tu kwa hard device hata soft ones

Fact ulosema hapo juu ni kweli simple and common na one thing I don't like about simple and common is that they are too simple and common respectively

Ukienda in details utaona deviation kati ya bidhaa hizi mbili tumia kila moja sio unasema kila device iko sawa hilo haliwezekan
 
Back
Top Bottom