Simu ipi ya tecno iliyo bora, naomba ushauri

Simu ipi ya tecno iliyo bora, naomba ushauri

siku zote mtu husifia alicho nacho, laiti ungeujua ubovu wa tecno usingezisifia kamwe
Na kuna uzi humu ambao kila mwenye kutumia tecno kama mie walielezea adha na changamoto wanazopata kwenye tecno - search

Mi tecno natumia tu kwa sababu ya shida labda kama kuna aina ambayo iko poa
 
tecno ni bonge la simu tukianza na ukaaji wa chaji huwez fananisha tecno c8 na samsung s4 samsung ni kama pasi unatumia ikiwa kwenye chaji kama unabisha njoo sasa
 
Kama unapenda yenye storage kubwa chukua boom 5 utaipata chini ya lak 2.Ina 16 GB sawa na C 8 au J7.Lakini kama unapenda sim yenye kamera safi lakini storage ya kawaida chukua Common 5 au 8.
 
kwa pesa uliyonayo sio mbaya ukinunua tecno W4 itakufaa kwa matumizi yako.
 
Ninacho taaka kukwambia ubora wa simu cha kwanza ni chaji maana hivyo Najua hakuna atale amini na wengi hawajui nunua Techno L8 achana na h7 au c9 usumbufu tuu.Ukubwa wa betri la L8 c9 inaingia Mara 2
 
1479436237631.png
 
tecno simu za mahausigeli wewe..jichange uchukue walau s4 mini ujismartphonishe kijanja zaidi
 
Mkuu 7babu umeomba ushauri wa Sim ya tecno sio tatizo, lkn cwez kushauri ununue sim ya tecno Nimeanza kutumia tecno miaka kazaa iliyopita toka kipindi cha sim zenye button na touch lkn sim za tecno sio kabisa.
Jarib kuingia kwenye familiar ya Samsung kwa hiyo Budget yako utapata Samsung J1 Acer nzuri sana
 
Wanajamii naomba mtu mwenye ujuzi na simu anijuze. nimejichangachanga kidogo nina 200,000/= hivyo nataka ninunue simu yenye ubora mzuri. nahitaji TECNO je ipi nzuri kwa pesa hiyo au nikiongeza kidogo 250,000/=
acha kushangaa shangaa, simu nzuri lazma iwe na uwezo mzuri, mfn: camera bomba, ram na storage kubwa, display pouwa, processor fresh, battery kubwa etc...Sasa njoo nikupe simu ya kibaba..sony xperia z, ipo full box au galaxy J3 au nyingne zipo kibao utachagua mwenyewe. nini tecno bana wakati vunja bei matelephone nipo humu!
0654776976
 
Wanajamii naomba mtu mwenye ujuzi na simu anijuze. nimejichangachanga kidogo nina 200,000/= hivyo nataka ninunue simu yenye ubora mzuri. nahitaji TECNO je ipi nzuri kwa pesa hiyo au nikiongeza kidogo 250,000/=
Nunua tecno c5
 
tecno simu za mahausigeli wewe..jichange uchukue walau s4 mini ujismartphonishe kijanja zaidi
Wewe itakuwa CCM chama cha kudharau watu wasio na makosa na kuwatukuza mafisadi hadi kuwaita waheshimiwa house Girl siyo ufisadi.mafisadi wengi wa chama cha magamba wanatumia samsung
 
Back
Top Bottom