Mr.Wenger
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 2,572
- 6,209
Labda useme Tecno ina matatizo gani mpaka asichukue? Binafsi nilikuwa natumia Note 3 lkn bahati mbaya ikapotea nikaamua kununua J8 lkn mpaka sasa sijaimiss note 3 yangu kwa sababu J8 inafanya kazi vizuri sana sawa na ile note 3. Sasa nashangaa watu wanavyozipiga vita Tecno zijui zimefanya nini ?Mkuu acha kumpotosha mwenzako,kwa pesa hiyo anapata Samsung j1 ace mpya kabisa na kama anavyosema anaweza kuongeza 50 akapata za aina nyingine kama Huawei, HTC, na zingine nyingi tu,ila HASICHUKUE TECNO.