Mambo vipi? Tembelea tovuti ya Kaymu kwa kubofya Mobile Phones | Buy Smartphones, Samsung, HTC, Tecno, iPhones | Kaymu utajionea simu nzuri zinazokidhi bajeti na mahitaji yako. AsanteNaombeni mnisaidie simu ipi nzuri nina shilingi laki 4 (400000)
Mambo vipi? Tembelea tovuti ya Kaymu kwa kubofya Mobile Phones | Buy Smartphones, Samsung, HTC, Tecno, iPhones | Kaymu utajionea simu nzuri zinazokidhi bajeti na mahitaji yako. AsanteNaombeni mnisaidie simu ipi nzuri nina shilingi laki 4 (400000)
Nunua lg g2 tena D802 international version.Naombeni mnisaidie simu ipi nzuri nina shilingi laki 4 (400000)
Mkuu nina budget isiyozidi 1Mwanazingua wanaweza kukataa au ukipata muelewa atakutengenezea hawatabiriki
Hii Nitaitumia Kama Reftigo- 800mhz
Ttcl- 1800mhz
smart- 2300mhz
ukiipata hio lg g2 nenda setting then about angalia aina yake zipo d800, d801, d802 nk
ukishajua hio aina nenda gsmarena halafu angalia specification za lg g2 utaona wameeka band za kila aina.
then angalia band kama zinafanana na mitandao yetu
huna preference yoyote? ukubwa wa kioo, matumizi gani utaitumia etc?Mkuu nina budget isiyozidi 1M
Nitafute sim gani inayokidhi hiyo gharama kwa ubora wake?
Msaada tafadhali.
Kioo kiwe kipana ila sio sana, sim tuu iingie mfukoni, pia iwe vizuri kwenye internet na durabilityhuna preference yoyote? ukubwa wa kioo, matumizi gani utaitumia etc?
kwa hio budget yako unapata flagship za mwaka jana na flagship nzuri zaidi ilikuwa ni s6 lakini material yake ya nje ni glass, itakuwa na muonekano mzuri lakini durability yake si kubwa sana labda kama utailinda na cover.Kioo kiwe kipana ila sio sana, sim tuu iingie mfukoni, pia iwe vizuri kwenye internet na durability
Hizi ni ZEREU sasa, by the way, mtu anajikuna anapofikaOngezea hela ununue iphone,achana na hayo makopo.
Chief mkwawa habari nyingine ikitokea siku nataka kuwaalika member wa humu kwa tafrija nyumbani kwangu chief hakosi tena high table!humu huwa nawaelewa wote ila huyu #chiefmkwawa hakunaga long live bro
Mi Naomba Maelezo Hapo Kwenye Hizo Band. Halafu 4g Ina Line Zake?watu walioekwa tigo/mitambo yao ya kucheck bands haina usahihi asilimia 100% ni vyema ucheki mwenyewe nyumbani ukifika kule sajili tu line.
ingia gsmarena search simu yako then angalia bands zake. tigo ni 800mhz
ila kuwa makini simu moja inaweza kuwa na variety nyingi mfano ni hio lg g2 ipo d800, d801, d802 nk na kila moja ina band zake tofauti. uzuri ni kwamba gsmarena pia huzinyambua band kwa kila aina ya simu
Ahsante sana mkuukwa hio budget yako unapata flagship za mwaka jana na flagship nzuri zaidi ilikuwa ni s6 lakini material yake ya nje ni glass, itakuwa na muonekano mzuri lakini durability yake si kubwa sana labda kama utailinda na cover.
pia kuna note 4 nayo ni nzuri na durability pia nzuri lakini inaweza kuwa kubwa kidogo hivyo ni vyema ukaiona kwa macho kabla.
simu hizo mbili ukizinunua kwa samsung au duka linalotambulika utapata na warranty ambayo hujumuisha hadi kutengenezewa display bure ikivunjika. ukinunua unaregister kwa imei
ila pia angalia je ni lazima kuspend hadi hio hela? hasa vile huna matumizi makubwa zipo simu around 400,000 ambazo zimekamilika kila idara kwa matumizi ya kawaida kama niliyotaja hapo juu galaxy j5 na zilizotajwa na wengine kama huawei p8 lite
latest ni m10 kwa Htc lakini kuna ka mchezo wamekaanzisha mwaka huu simu za htc na lg zinazokuja Africa zitakuwa na specification ndogo kuliko zile za marekani na ulaya. M9 haikufanya vizuri na m8 ni ya zamani kidogo ila ilifanya vizuri. Angalia simu hizi si za samsung ila ni nzuri na zinafit hio budgetAhsante sana mkuu
Ninahaha kutafuta sim mbali na brand ya Nokia na Samsung, iPhone's sijawahi tumia.
Vipi kuhusu HTC M8? M9 zishatoka?
4g ina line zake ndio, unataka kufahamu nini zaidi kwenye hizo band?Mi Naomba Maelezo Hapo Kwenye Hizo Band. Halafu 4g Ina Line Zake?
Hii simu ina tatizo kubwa la kupata boot loop issue, motherboard zake zina tatizo. Wenye nazo wengi wanalalamika so be carefulNimebadili mawazo, naitazama lg g4 dual sim hii iko vipi wadau? kuanzia perfomance yake pamoja na bei ?
4g ina line zake ndio, unataka kufahamu nini zaidi kwenye hizo band?