Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
wenzako hapo ofisini hawapati tatizo kama lako? umejaribu kubadili line?mkuu mimi nina iphone 6s ila,maajabu network shida,nikiwa ofisini network ni shida,kabisa,mpk nitoke nje,ndo ishike 3g,,na niko,mjini.shida,inaeza,kua,ni nn
simu zilizotengenezwa kwa alluminium kote (unibody) huwa uwezo wake wa kushika network ni mdogo. hizo papi za plastic za nyuma ndio pekee zinazopitisha network.