emboaba
Senior Member
- Oct 5, 2014
- 143
- 117
Mkuu, marahisi kama hili ulilojibu uwe unaniachia najibu mimi... Hehe.. Mi ni mwanafunzi wako wa kimya kimya..
humu huwa nawaelewa wote ila huyu #chiefmkwawa hakunaga long live bro
Mkuu, marahisi kama hili ulilojibu uwe unaniachia najibu mimi... Hehe.. Mi ni mwanafunzi wako wa kimya kimya..
umewahi tumia iphone kabla? kama ndio basi iphone 6s ni best na processor yake sasa hivi ndio nzuri kushinda simu zote.Chief-Mkwawa nini maoni/mawazo yako kuhusu iPhone 6s? Nahitaji kuinunua hiyo kakangu.
Chief-Mkwawa nimewahi kutumia 3G,3GS,4,4s,5 na 5s baada ya hapo nikahamia android HTC M8 najiona nimekosa vitu fulani hivi ndo najikongoja nirudi apple tena.umewahi tumia iphone kabla? kama ndio basi iphone 6s ni best na processor yake sasa hivi ndio nzuri kushinda simu zote.
kama hujawahi tumia iphone kabla itabidi uangalie limitation zake sababu ukitumia iphone kuna vitu inabidi ujifunze kuishi navyo
Chief-Mkwawa nimewahi kutumia 3G,3GS,4,4s,5 na 5s baada ya hapo nikahamia android HTC M8 najiona nimekosa vitu fulani hivi ndo najikongoja nirudi apple tena.
Upo wapi?kaka njoo nikupe s4 kwa 350 original 32 gb internal
Ila hiz iPhone za bei rahisi screen zao ndogo ukilinganisha na smart phone nyingineOngezea hela ununue iphone,achana na hayo makopo.
Ngoja wataalamu waje......wakuu mimi nataka kuchukua iphone 5c hii iko vipi??
Msaada,na huawei hapa inatumia line ya tigo,nafanyaje iweze kutumia line zote?nunua lg g2 mpya au second hand note 3 kwa bei hio. roughly zina same specs kama full hd screen, sd 800 processor, 4g lte, nk
lg g2 ina ram 2gb na note 3 ni 3gb.
kuna jamaa anauza lg g2 humu kwa laki 3 na nusu na kaymu zipo nyingi tu around laki 4. just make sure tu band za 4g zinafanana na mitandao yetu.
unlock, search neno unlock huawei utapata thread kibao za wanaofanya hiyo kaziMsaada,na huawei hapa inatumia line ya tigo,nafanyaje iweze kutumia line zote?
achana nayo haina maana ni bora uwe na 5 kuliko 5c.wakuu mimi nataka kuchukua iphone 5c hii iko vipi??
mkuu chief unaposema haina maana unamaanisha haifai kabisa au tatizo n hio storage tu????achana nayo haina maana ni bora uwe na 5 kuliko 5c.
na internal memory yake ya 8gb(free 5 or 4gb) bila memory card itakusumbua, kuiupdate tu ni shughuli.
storage yah,mkuu chief unaposema haina maana unamaanisha haifai kabisa au tatizo n hio storage tu????
Shukran Mkuu ,sababu hata 6 hujatumia then 6s utaona mabadiliko makubwa kama
-ios 9, sasa hivi kuna operating system mpya yenye feature mpya kama vile kubadili keyboard, multitasking nk
-kioo cha 6s ni kikubwa kidogo compare na 5s
-best processor sasa hivi ni A9 ambayo ipo ndani ya 6s
-best storage (internal memory) ya simu ipo ndani ya 6s, hii itafanya simu iwe smooth sana
Mkuu Simu za SONYXPERIA vip nichukue aina gani ndio nzurstorage yah,
haina maana sababu hio simu specs zake ni kama iphone 5, na iphone 5 unaipata bei rahisi zaidi ya 5c so hakuna maana kuspend hela nyingi kununua simu dhaifu wakati unaweza pata nzuri zaidi kwa bei ya chini.
budget?Mkuu Simu za SONYXPERIA vip nichukue aina gani ndio nzur