Simu imeokotwa

Simu imeokotwa

Izi mambo izi dunia iko Mbele Sana, Hichi kitendo ulichofanya ni cha Kiungwana Sana ila nakushauri access mazingira ya ulipoikota Kabala ya Kupiga Kelele Ivo umeikota, Mimi niliwahi kutana na simu Usiku imedondoshwa nkachana nayo wala sikuigusa kabisa

Unaweza kuwa na Nia nzuri lakini baadae ikakuponza

Ila pia watumiaji wa smartphone tuweke emergency contact ambapo kwa issue kama hio hakuhitaji Kutoa lock ili uwasiliane na emergency contact,

Emergency contact inasaidie mambo mengi Sana kama kuweka taarifa za awali za afya au Group blood type na allergy just ata ikitokea Ajali na ukawa unconscious basi watu wata access Izo vital info zako kwa Msada zaidi
 

Attachments

  • Screenshot_20260806-193447.jpg
    Screenshot_20260806-193447.jpg
    62.9 KB · Views: 3
Kwa yeyote anaye mfahamu kwenye hiyo picha tuwasiliane mana kuna simu imeokotwa ina picha hiyo
View attachment 3644458
Kweli muhaya hafichiki hata kwenye picha
Huyu mwenye simu Ni muhaya(wasomi)

Kwa kuwa siku hizi za teknolojia mmegundua hivyo vitu Vinaleta jau hata kama umeokota...basi umefanya vyema....

Uwe na bahati awe muhaya kweli, utaambulia chochote(utaokota)

Ila kama ni MANGI...UTAAMBULIA ASANTE CHALII YANGU!
 
Back
Top Bottom