Sozo_
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,865
- 5,205
Hii inaonyesha tumefika mahali hata uone mwenzako amepoteza kitu huwezi kumsaidia kwa kuogopa kuingizwa kwenye eneo lisilo lako. Kweli vyombo vyetu haviwezi kutenganisha mtu aliyetoa msaada na aliyefanya hicho kitendo?Angalia tu usigeuziwe kibao
Ova
Kweli siku za mwisho upendo utapungua.