jr.kiyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 809
- 4,951
- Thread starter
- #81
Umemkabidhi kwenye vyombo vya sheria kuwa akamatwe kwa nini kapoteza simu au? Mimi mgumu sana kuelewa he
Hapana mkuu ni miongoni mwa ushauri niliopokea kutoka kwa wadau mbalimbali kwa usalama wa pande zote mbili,utanisamee kama sijatenda vyema kwenye hili.Umemkabidhi kwenye vyombo vya sheria kuwa akamatwe kwa nini kapoteza simu au? Mimi mgumu sana kuelewa hebu nieleweshe