Simu imeniadhiri?

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
7,971
13,605
Hi jf! Dr! Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia mlio wa cm yangu ikiita, hata kama haiti. Yaani nikiwa nimetulia, natembea na hata kulala huwa naisikia ikiita japokuwa ina vibration,ninapojishika kwenye mfuko niliyoiweka,naona haiti. Nini tatizo? Nawasilisha.
 
... Waone wataalam wa saikolojia.
 
mkuu hiyo nikutokana na brain recall yaani unakuwa unakumbuka tukio linafanyika kila mara..
Ushauri jitahidi kurelax na kufresh akili pia inasaidia..
 
hii ni moja ya matokeo ya kuacha au kupumzika kuvuta bangi, kama ni hivyo usihofu litapotea taratibu
 
Nadhani itakuwa ni mara yako ya kwanza kumiliki cmu, baada ya kuzowea hali hiyo itaondoka. Hata wale wasiozowea
kusafiri mwendo mrefu huwa wanahisi safari kuendelea hata baada ya kuteremka kwenye vyombo vya usafiri.
Pole sana.
 
Labda Idadi ya wanaokupigia simu imepungua kwahiyo una wenge la kupigiwa simu. Uza simu yako nunua Nyingine
 
Punguzeni kuchomeka headphone masikioni na zenyewe asilimia kubwa zinasababisha sauti kujirudiarudia masikioni.
 
Weka mlio wa sauti ili uwe na uhakika tu pale simu unapoisikia ikiita, vibration mara nyingi inaweza isisikike kirahisi na kukufanya wewe kuwa aware wakati wote kitu ambacho ni kama umetega bomu usilojua mda wa kulipuka lakini upo na hofu isiyokwisha.
 
Back
Top Bottom