mmmmhhhh!!&
huyo mtata!
mana wetu wahuni ilA huyo kazidi
afu m/mke akichoka amechoka kweeliii
mana tunaweza vumilia wengi wetu but
akisema its over.....!!!
anamaanisha!
Hii thread yako kitambo sasa napita nasoma na nashindwa cha kuandika. Ila hapa sasa nimepata pa kuanzia.
Tunaongelea usalama wako mwenyewe na wa watu waliokuzunguka. Hata kama una mapungufu, kuishi na mtu anaekupa clinical depression, na mwisho ndo kwanza anakucheat; inanipa wasiwasi. unaweza kwenda kwa washauri nasaha? Do something!
Hongera Dadangu Story nzuri na ina mafunzosala zAko ndo mkombozi wako
mi mwenzio (natoa ushuhuda )niliona mme wangu hana uhuru na simu yake ikipgwa silence tena saa 6 usiku sikuuliza nikasubir kalala nikachuku a simu nkakuta 7misd call,3dialled calls,4 ricvd calls za mtu mmoja
nikachukua namba asubuh kaondoka nkapiga mdada kapokea nkauliza unamjua fulani akasema simju nkamwambia sasa
..............
AM SORY STORY NDEFU ila nataka nkwambie km ni kweli huyo mmama anatoka nae
hao ndo wanaume na ktk dunia hii UKITAKA MKAMILIFU MUUMBE MWENYEWE
Huo ndo upuuzi wa watu dhaifu!
Eti akimuacha huyo ataacha wangapi? *** it!
Kwani lazima kuwa na mtu? Mimi hata wawe trilioni moja nitawaacha tu.
Hongera Dadangu Story nzuri na ina mafunzo
muwe mnazimaliza km ile ya shoga yako aliyeenda Chuoni ,yuko likizo katumiwa sms na kidume ungemshauri mumewe amezee na amjibu vivyo vivyo
hapa naona mleta thread atajifunza Theodora
Hivi Theodora kinachokupa maumivu ya kuona km unapoteza kitu cha thamani kumuacha mwanaume mzinzi ni nini!?? Me nataka nikutie moyo,ondoka ktk hiyo ndoa haikufai hata sekunde moja. Kuna watu wanakuambia ukiondoka eti hujui utakutana na wa aina gani! Dah,hoja ya kipuuzi kabisaa. Kwani lazima uwe na mtu!? Lkn hata ukiwa nae bado hakuna dhambi kumuacha na yeye km tabia ni ileile. Kwani km unadhani unampenda sana mumeo huyo mzinzi,akifa na wewe utakufa!? Naamini hutakufa na maisha yataendelea km kawaida. Km ndivyo,unashindwa nini kuamua!?? Mungu anakupenda sana ndo maana kakuonyesha kuwa sehemu ulipo si salama!I am not a saint, but ninaamini a sinner also learns not to repeat the same mistake twice. Fahamu kwamba huyu huyu amenifanya nitumie depression drugs kwa muda wa mwaka mmoja. Ameambiwa ataje mapungufu yangu ameshindwa...
Mkuu NANDERA nimekuelewa lakini ushauri wangu kwa huyu dada siwezi kumwambia amuache mumewe labda kama kungekuwa na ulingano wa madai kati yake na mumewe hapa jukwaani ningepima madai yao na kutoa ushauri. Unajuaje kama huyu dada hamnyimi/kumtoshereza mumewe kwenye tendo la ndoa? vingine basi kuna kitu ambacho huyo kahaba anampa mumewe ambacho hawezi kukipata kwake, je hapo unasemaje?
Unajuaje kama huyo mumewe alipumbazwa kishirikina na huyo kahaba ili amlie pesa, je mwanaume atajinasuaje? haya yapo.
pambana bidada pambana kumbuka huyo ni mumeo usikubali kumwacha aende kiurahis...
..
yule muha mkorofi balaa nshawahi kumpigia simu mdad mmoja alikua anawasilianA mdogo wangu nkapata kutoka kwa wifi yangu
nilinnua kesi nilimnyamba yule dada hana hamu na mimi na mdogo wangu sijapat tena mashtaka
mimi nimejifunza kwa mama angu mlezi km aliweza kumvumilA baba angu mpaka leo
nAamini kwa anitiaye nguvu ntaweza
sasa nimeeeeelewaaaa. Nakumbuka tuliwahi kujadili mada namna mahusiano/tabia za wazazi zinavyoweza kuathiri choices za watoto. Hivi hivi from nowhere kuvumilia mwenza mchepukaji mpaka kupambana na michepuko yake ni muujiza aisee.
Kumuuliza Mungu juu ya hili sijui kama rahisi nahisi kama majibu yalishakuegepo ie mtu asimuache mkewe/mumewe isipokua kwa dhambi ya uzinzi. Sasa hapo naona kama yeye mwenyewe aamue either kuendelea nae au kusepa wanasema tabia haina dawa lkn bado muamuzi ni yeye mwenyewe manakeuamuzi wowote atakaoufanya ni kwa ajili yake mwenyewe.Pole Sana Theo. Please, usichukue maamuzi yeyote wakati huu. Take time, talk to God and ask him what to do next. All in all usimuamini huyu mama! Huyu yupo desperate kaachwa sasa anatafta njia ya kujiridhisha akiamini baada ya wewe kujua hili uta Punic na kumuacha mumeo! Q
Kumuuliza Mungu juu ya hili sijui kama rahisi nahisi kama majibu yalishakuegepo ie mtu asimuache mkewe/mumewe isipokua kwa dhambi ya uzinzi. Sasa hapo naona kama yeye mwenyewe aamue either kuendelea nae au kusepa wanasema tabia haina dawa lkn bado muamuzi ni yeye mwenyewe manakeuamuzi wowote atakaoufanya ni kwa ajili yake mwenyewe.
Anachoweza weza kufanya ni kutafuta uthibitisho kama kweli mumewe alikua na huyo ndugu then ajipange kuanza maisha mapya , nasema maisha mapya kwa sababu life will never be the same ikiwa atakaa au ataondoka.