Vipi kuhusu vijindevu maana wengine ndevu zipo za ushahidi tu kipindi cha kutoa mahari ila sio kichaka kama rickross zile!Wanaume wenye ndevu mna nafasi ya pekee sana moyoni mwangu hata mbinguni pia😊😊😋
Pesa ya surgery kaokota wapi afanye mengi hayaMtu anayeandika hivi utakuta hapo alipo ana
1 kope feki
2 Wigi
3 tako la sponge
4 kucha fake
5 Nyusi fake
6 Meno fake
7.lips fake
8 kapiga Make ups mpaka matakoni
9. Life fake
10. Love fake
Halafu anakuja kucriticise ndevu hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kirevu changu king'ae Kama titi. NEVER!!!Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu
Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU
Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
[emoji3][emoji3][emoji3]Kwanini mpenziHahahahah
Wakubwa wanafaidi jamani!!
hawa wanazo hasa huyo wa kwanza ana kim beberu kidogo. Sema labda unataka mtu anyoe tu.Umeona Jamani kama hao walivyo pendeza hadi raha[emoji8][emoji8][emoji8]View attachment 1436884View attachment 1436885
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona watu wanavyosifia ndevu hukoo jamani!!!
Uko form ngapi kwani ? Tuanzie hapo kwanza.Mambo zenu huku tukiendelea kukiadhari na hili jibwana Korona. Hivi Mwanaume unakuwa na midevu mingi hii imeakaaje? Japo kuna wengine wanazichonga na zinaoneoneka Vizuri tu
Ila kwa upande wangu kiuhalisia SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU. SIMPENDI MWANAUME ANAYEFUGA NDEVU
Nimeshindwa hata kuweka kapicha maana SIPENDI HATA KUZIONA
Mwenyewe nakazia hapo kwenue kutafuta mafuta ya kiboost ndevu.Vipi kuhusu vijindevu maana wengine ndevu zipo za ushahidi tu kipindi cha kutoa mahari ila sio kichaka kama rickross zile!
Manz yangu kila siku ananiambia tafuta hata mafuta u boost ndevu hizo mie nachekaa wee. af kuna boya anadiss ndevu eti 😂😂😂
Wengine tukinyoa leo wiki tu zishajaa sasa tukihudhuria kila wiki saluni si ndo kuanza kukomazana ngozi mkuu?[emoji51]Siwapendi tu nikidate na wewe lazima niwe naenda na wewe saluni na kuhakikisha unanyoa ndevu tena zote
Kwahio nmekukosa jamn😂Mwenyewe nakazia hapo kwenue kutafuta mafuta ya kiboost ndevu.
Vijindevu najitahidi kuvielewa😂😂😂 zile za Rick Ross ndo zenyewe😋😋😋
Dada shikamooKale ka feeling unakopata babe akikugusa na tule tundevu shingoni zinashinda feelings, za "Imethibitishwa umpokea______kutoka kwenye nambaa........awwwww
Hahah huu sio uzi wao siokwenye uzi wa mademu kule [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume wenye ndevu mna nafasi ya pekee sana moyoni mwangu hata mbinguni pia[emoji4][emoji4][emoji39]
Ndiooo🤣🤣🤣🤣Kwahio nmekukosa jamn😂
Siwapendi tu nikidate na wewe lazima niwe naenda na wewe saluni na kuhakikisha unanyoa ndevu tena zote