Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,297
- 21,699
We vp, unachukia mtu huna hata sababu!? Na hicho unachotamani! Mh! Katest ur brain...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.
Hiyo "natamani kuvunja PC yangu" inanikumbusha mambo mawili:
1) "natamani na kujaribu siwezi".
2) Mtoto wa juzi '83 unatumia PC? Hata mie nna ki laptop na ki Tablet. Unanchekesha.
Ndio kwanza nafika nyumbani, natazama clouds, ngoja nimsikie Bi Kidude na Mohamed Elias, wanawahoji. Ntakuja ikiisha, usiondoke.
sio wewe.
Umeshajiuliza anapataga mda saa ngapi japo kusafisha injini yake?
Mwanamke gani hana mipaka.
faizafoxy hapendi anachokifanya'ni kazi na analipwa'nataka ujue ff sio mtu bali kikundi cha watu wengi'ndio maana walijisahau wakaonyesha ile kitu ya kuwa online 24hrs'hakuna haja ya kuwachuukia
Ritz una mawazo mkojo...elimu niliyo nayo na uwezo wangu wa kufikiri uwezi kunifananisha na huyu mwanamke...
Afu wee siku nikikunyonya macho ndo utajua mie mbeba mabox au mbeba vijiti vya nyama
...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.
sio wewe.
Umeshajiuliza anapataga mda saa ngapi japo kusafisha injini yake?
Mwanamke gani hana mipaka.
UshaonaeeEti? Ni kikundi? Ok bye.
Jizee la umri wa dhahabu,
Huna hadhi wala adabu,
Unamaneno machafu kuliko babu,
Kijana usie na sharubu, inabidi utubu
Sioni sababu yakunikosea adabu
Mahakama yamngoja babu, kwa kuwapa watu tabu
Umenikiumbusha:...Kuna watu wengi humu JF ambao kwa hakika mtazamo wa mawazo unatofautiana na mimi kwa kiasi kikubwa kama Malaria Sugu,Rejao nk..lakini kuna huyu mmoja anaitwa FAIZAFOXY lol!! Yaani simpendi mpaka nashindwa nifanyaje.Nikiona comments zake au threads zake yaani akili yangu inatamani hata kuvunja PC yangu..sijui kwanini.