Simon Group na Ridhiwani Kikwete wana uhusiano gani?

sitaki kuamini kama huyu ------ Rizione ana akili kiasi hicho cha kumiliki makampuni makubwa kama mnavyosema,
naomba niseme wazi huyu jamaa hana asili ya kumiliki makampuni,PERIOD!
nafikiri hizi shutuma zinampa raha sana na anatamani kweli awe na uwezo wa kumiliki makampuni makubwa,
Oil lake ni la wachaga wanamtumia tu jamaa,uwezo ni mdogo sana jamani,kumiliki kampuni kubwa is not easy

Lake oil ni la wachaga! hao wachaga ni wakina nani? kuna lake oil moja ipo karibu na kibaigwa ilipofunguliwa alikuja riz 1 na helikopta ya jeshi. Ilikuwa ukiweka mafuta ya 20000 unaongezewa nusu ya ulioweka kwa muda wa siku mbili. Sijawai kuona mchaga akifanya hivo!
 
Hivi nchi hii tutaacha lini kutetea wezi?
Yaani tumefikia hatua mbaya kiasi kwamba Mbunge, Waziri, Rais au Mtoto wakiongozi ni halali kuliibia taifa. Wakishaiba walipakodi hawana nafasi yakuhoji wala kufuatilia. Kibaya zaidi wazalendo wachache wakijitokeza kuhoji na kufuatilia kwa manufaa ya Uma wataambiwa wanamajungu, wivu n.k. Kitu ambacho kinasikitisha wengi wanaotetea wezi ni watu masikini wanatia huruma lakini wako mstari wambele kutetea wezi.

Viongozi kwakuufahamu udhaifu wa jamii wanayoingoza wanatumia nafasi hiyo kujilimbikizia Mali za uma bila hofu wakijihakikishia kwamba hakuna wakuwabugudhi na hata wakijitokeza wachache kuhoji tutapigana vijembe wenyewe kwa wenyewe huku viongozi hao wakila bata huku na kule. Tunashindwa kuwatia moyo wazalendo wachache ili watupiganie badala yake tunawavunja moyo mwishowake nao pia wanaamua kukaa kimya. Hii inakuwa faida kwa viongozi lakini pia inakuwa ni ushindi mkubwa kwao. Hii inawapa hari yakuongeza kasi ya wizi huku watetezi wawanyonge wakizidi kupungua na kama sio kwisha kabisa.

Tumefikia hatua kuhoji au kudadisi ufisadi na rushwa ni zambi. Ila kwakiongozi kuiba ni halali tena kwa baraka kabisa. Kwa nchi masikini kama Tanzanian ni ulofa kutetea wezi na kuibariki rushwa. Mimi siamini kwamba hakuna adhabu kwa hawa watu. Kuibadili Tanzania kuwa kama Dubai inawezekana kama tutaamua kwa pamoja kusema sasa basi inatosha.

Kwakutumia vema sanduku la Kura kila kitu kinawezekana.
Mkuu nchi hii bado inawa pu..mbavu mpaka waishe ndo utaona taifa linaenda mbele! Wazungu pamoja na raha waliyonayo lakini wako tayari kulala waote barabarani kupinga ufisadi wa aina yoyote hata kama ni wa dola moja so long as ni mali ya umma! Sisi tumebaki kuamini kuwa kupata maendeleo ni kutumia juhudi binafsi ndo maana mwizi wa mali ya umma anaoneka ndo mwenye akili nchi hii! Chenge alishawahi kuwaambia wasukuma kuwa alikuja dar kutafuta haijalishi ameiba au la so long as ameenda na pesa huko kwao basi ni ufahari na wasukuma wakashangilia na mpaka leo akienda jimboni kwake wwasukuma wanahamia nyumbani kwake kwa milo yote ya siku kwa kipindi atakachokuwepo! Watu kama hawa huwezi kuwaambia chenge ni mwizi wakakuelewa! Mkuu tutafika ila waadilifu tutakuwa tumechoka sana Mungu atupe mioyo ya kuvumilia haya machungu! Ukweli ni mmoja tu kwamba mwisho wao umekaribia hata kama sio wao watakao onja haya machungu, basi vizazi vyao vitawalaumu sana kwa machungu watakayoyapata kipindi kile!
 
Unafiki mtupu hamna uzalendo wowote, viwanda na mashirika yote yaliyouzwa na wafanyakazi kutupwa nje na kutaabika mitaani hamjaongea kwa uchungu,leo Suala la UDA mnalishadadia utadhani ni shirika pekee tulilokuwa nalo nchini.Hamna uchungu na nchi hii isipokuwa hassad inawasumbueni kwa dhana potofu kuwa Mtoto wa mkubwa fulani pia ni miongoni mwa wamiliki wa UDA.Hao wahindi na wageni waliopewa viwanda vyetu kwa bei ya kutupa wala hamna Shida ya kuwafahamu.Acheni Roho za husuda ,be creative na si kulalama ovyo kwa kudandia basi usilojua linaishia kituo kipi.
 
Napenda topic kama hizi. Nyie mnaoleta mi MMU humu kwenye jukwaa la siasa hakika mnakera!
 
basi huyu rizwan atakua anachuana na bill gates,kila kitu mnasema ni chake

Yaani hata majengo na biashara zote nzuri mjini ni zake, naona atakuwa tajiri sana maana wanavyomtuhumu Mungu atampa.
 
Hili suala limejadiliwa sana na Mnyika et al. Hivi kwa nini wasipeleke mahakamani kama wameshindwa kupata ukweli kule bungeni? Tumechoshwa na hizi kelele za kila siku kuhusu UDA.
 
Lake oil ni la wachaga! hao wachaga ni wakina nani? kuna lake oil moja ipo karibu na kibaigwa ilipofunguliwa alikuja riz 1 na helikopta ya jeshi. Ilikuwa ukiweka mafuta ya 20000 unaongezewa nusu ya ulioweka kwa muda wa siku mbili. Sijawai kuona mchaga akifanya hivo!
Yaani ghorofa zote zinazojengwa hapa Tanzania, tunaambiwa ni za Ridhiwani, kampuni za usafirishaji ni huyo huyo, petrol station kibao utaambiwa anamiliki yeye, migodi ya dhahabu ni yake, umiliki wa hisa kwenye makampuni makubwa ni yeye. Si angekuwa Mungu-mtu hapa Bongo? Hana chochote, maskini wa Mungu.
 
CCM pekee ndo mabingwa wa kutetea wezi na kuwaona mashujaa. Kuna baadhi ya watu wameshaathiriwa kabisa na ugonjwa wa CCM na hawaelewi chochote. Kwa hakika familia ya Kikwete na rafiki zake wamelihujumi hili taifa kuliko viongozi wengine waliowahi kutawala. Watoto wake, wake zake , marafiki na viongozi aliowateua kushika nafasi mbalimbali katika chama na serikali kwa ipindi cha miama nane na ushee wamehujumu na kulirudisha taifa nyuma kimaendeleo na hasa kusababisha maisha magumu kwa wananchi wa kawaida. NAsema haya kwa uchungu kwa kuwa wananchi wengi wanateseka kwa kila kitu kuwa hovyo, wizi uliokithiri na huduma mbovu za kijamii kuku familia zao wachache zikivinjari kupitia migongo ya vikaragosi vinavyowatetea. CCM 100% ni wahusika na sakata la Simon group na UDA, na fedha zake ndo za stimulus package!! Najiuliza, matumizi Fedha hizi yalilikaguliwa na CAG?
 
sitaki kuamini kama huyu ------ Rizione ana akili kiasi hicho cha kumiliki makampuni makubwa kama mnavyosema,
naomba niseme wazi huyu jamaa hana asili ya kumiliki makampuni,PERIOD!
nafikiri hizi shutuma zinampa raha sana na anatamani kweli awe na uwezo wa kumiliki makampuni makubwa,
Oil lake ni la wachaga wanamtumia tu jamaa,uwezo ni mdogo sana jamani,kumiliki kampuni kubwa is not easy

inaeleka humjui rizmoko vizuri,
 
Yaani ghorofa zote zinazojengwa hapa Tanzania, tunaambiwa ni za Ridhiwani, kampuni za usafirishaji ni huyo huyo, petrol station kibao utaambiwa anamiliki yeye, migodi ya dhahabu ni yake, umiliki wa hisa kwenye makampuni makubwa ni yeye. Si angekuwa Mungu-mtu hapa Bongo? Hana chochote, maskini wa Mungu.

Hizi habari za kuchonga ndizo zinazofanya upinzani udharaulike
 
sitaki kuamini kama huyu ------ Rizione ana akili kiasi hicho cha kumiliki makampuni makubwa kama mnavyosema,
naomba niseme wazi huyu jamaa hana asili ya kumiliki makampuni,PERIOD!
nafikiri hizi shutuma zinampa raha sana na anatamani kweli awe na uwezo wa kumiliki makampuni makubwa,
Oil lake ni la wachaga wanamtumia tu jamaa,uwezo ni mdogo sana jamani,kumiliki kampuni kubwa is not easy

We endelea kuota tu angalia usije kuamka ukajikuta uchi tayari
 
Mkuu nchi hii bado inawa pu..mbavu mpaka waishe ndo utaona taifa linaenda mbele! Wazungu pamoja na raha waliyonayo lakini wako tayari kulala waote barabarani kupinga ufisadi wa aina yoyote hata kama ni wa dola moja so long as ni mali ya umma! Sisi tumebaki kuamini kuwa kupata maendeleo ni kutumia juhudi binafsi ndo maana mwizi wa mali ya umma anaoneka ndo mwenye akili nchi hii! Chenge alishawahi kuwaambia wasukuma kuwa alikuja dar kutafuta haijalishi ameiba au la so long as ameenda na pesa huko kwao basi ni ufahari na wasukuma wakashangilia na mpaka leo akienda jimboni kwake wwasukuma wanahamia nyumbani kwake kwa milo yote ya siku kwa kipindi atakachokuwepo! Watu kama hawa huwezi kuwaambia chenge ni mwizi wakakuelewa! Mkuu tutafika ila waadilifu tutakuwa tumechoka sana Mungu atupe mioyo ya kuvumilia haya machungu! Ukweli ni mmoja tu kwamba mwisho wao umekaribia hata kama sio wao watakao onja haya machungu, basi vizazi vyao vitawalaumu sana kwa machungu watakayoyapata kipindi kile!

Mkuu nakuunga mkono 100%. Binafsi naamini uwezo wakuzuia wizi tunao ila sio kwa uongozi huu uliopo madarakani. Inabidi juhudi za mabadiliko tuwaondoe kuanzia balozi wa nyumba kumu......mpaka Rais tena kwa chama kingine kabisa. Tusitegemee CCM kukamata mwizi wa CCM. Hata Sir Isaack Newton alitumbia kwamba kitu chochote kitabaki katika hali ileile kama hakutakuwa na nguvu mpya kutoka nje kusukuma. Hivyo tusitegemee CCM kujibadilisha yenyewe tunahitaji nguvu iliyopo nje ya CCM kuipushi au kuindoa kabisa ili tusonge mbele.
 
basi huyu rizwan atakua anachuana na bill gates,kila kitu mnasema ni chake

E bwn kweli itabidi aingizwe kwenye list za forbes manake kila kitu ni chake mwisho watasema mpaka nyumba zao wanazoishi za ridhiwani
 
Hivi nchi hii tutaacha lini kutetea wezi?
Yaani tumefikia hatua mbaya kiasi kwamba Mbunge, Waziri, Rais au Mtoto wakiongozi ni halali kuliibia taifa. Wakishaiba walipakodi hawana nafasi yakuhoji wala kufuatilia. Kibaya zaidi wazalendo wachache wakijitokeza kuhoji na kufuatilia kwa manufaa ya Uma wataambiwa wanamajungu, wivu n.k. Kitu ambacho kinasikitisha wengi wanaotetea wezi ni watu masikini wanatia huruma lakini wako mstari wambele kutetea wezi.

Viongozi kwakuufahamu udhaifu wa jamii wanayoingoza wanatumia nafasi hiyo kujilimbikizia Mali za uma bila hofu wakijihakikishia kwamba hakuna wakuwabugudhi na hata wakijitokeza wachache kuhoji tutapigana vijembe wenyewe kwa wenyewe huku viongozi hao wakila bata huku na kule. Tunashindwa kuwatia moyo wazalendo wachache ili watupiganie badala yake tunawavunja moyo mwishowake nao pia wanaamua kukaa kimya. Hii inakuwa faida kwa viongozi lakini pia inakuwa ni ushindi mkubwa kwao. Hii inawapa hari yakuongeza kasi ya wizi huku watetezi wawanyonge wakizidi kupungua na kama sio kwisha kabisa.

Tumefikia hatua kuhoji au kudadisi ufisadi na rushwa ni zambi. Ila kwakiongozi kuiba ni halali tena kwa baraka kabisa. Kwa nchi masikini kama Tanzanian ni ulofa kutetea wezi na kuibariki rushwa. Mimi siamini kwamba hakuna adhabu kwa hawa watu. Kuibadili Tanzania kuwa kama Dubai inawezekana kama tutaamua kwa pamoja kusema sasa basi inatosha.

Kwakutumia vema sanduku la Kura kila kitu kinawezekana.

ni kweli kabisa mkuu wengi wao ni wavivu wa kufikiri wepesi wa kusahau na pia ni maskini wa fikra!!!!....watanzania wengi hasa vijana ni wavivu kudadisi, mtu ana kuja hapa na porojo hoo rz1 anasingiziwa kila kitu anaambiwa ana miliki yeye! Je kama baba yake ana tumia jina la mwanae kujilimbikizia mali?
 
..................... Tanzania kila jambo linawezekana
 
Back
Top Bottom