baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,818
- 18,362
Nikikumbuka Ridhiwani kipindi akiwa mtoto wa rais alikua na tuhuma nyingi sana kiasi kwamba nyingine kwa akili ya kawaida unaona ni Uongo kama ya madawa la kulevya china huu ulikua ni Uongo mtoto wa Rais heti hasipige michongo ya uhakika kumiliki migodi na mambo mengine yaje kua madawa ya kulevya ?Hii akili yangu iligoma sio kwamba tuhuma nyingine nazitete au sio za kweli nyingine za kwale zipo.
Sasa kuhimili presha kama ile sio poa wengi tunajua sijawahi kuona wakikanusha kwenye media sio mchezo hii kwa Sasa ndo anaweza kua anapiti Abdul presha ya maneno ya watu tuhuma nyingine ambazo hata wewe unaweza kua unashangaa kuhimili presha kama hizo walizima huwe na Wisdom sana.