Simon kisena hana uwezo wakumiliki UDA kwa wakazi wa mwanza tunamfahamu vizuri sana tena sana. Ameshika mali za wakubwa kwakujifanya mmiliki wa UDA.
Ina maana kampuni iliyoanzishwa zamani haiwezi kuuza hisa kwa vijana wa sasa hivi?Simon group imeanzisha ginnery mwanzoni mwa mikakati ya 2000,kipindi hicho riz1 bado alikuwa kijana Mdogo,,,from what I know prof kapuya is all behind this
![]()
Inzi wetu kazeeka,hawezi nusa harufu,
uozo waongezeka, wafanywa pasi na hofu,
raslimali zatoweka, wezi wawa maarufu
ewe inzi tuambie, uda mali ya nani
i. Ni kuwa Saimon Kisena , aligombea Ubunge Jimbo la Maswa Magharibi mwaka 2010 na alishindwa na Shibuda kwenye kura za maoni ila jina la Shibuda lilikatwa na kamati kuu, ndipo Shibuda kaenda Chadema .
Ukoo wa panya.
basi huyu rizwan atakua anachuana na bill gates,kila kitu mnasema ni chake
sitaki kuamini kama huyu ------ Rizione ana akili kiasi hicho cha kumiliki makampuni makubwa kama mnavyosema,
naomba niseme wazi huyu jamaa hana asili ya kumiliki makampuni,PERIOD!
nafikiri hizi shutuma zinampa raha sana na anatamani kweli awe na uwezo wa kumiliki makampuni makubwa,
Oil lake ni la wachaga wanamtumia tu jamaa,uwezo ni mdogo sana jamani,kumiliki kampuni kubwa is not easy
![]()
Inzi wetu kazeeka,hawezi nusa harufu,
uozo waongezeka, wafanywa pasi na hofu,
raslimali zatoweka, wezi wawa maarufu
ewe inzi tuambie, uda mali ya nani
Fedha ya stimulus package ilikuwa shilingi trilioni moja na bilioni mia nne , Jiulize ni wakulima gani walipata hiyo fidia , ila kuna makampuni ya kijanja janja yalikwapua matrilioni hayo na mpaka leo kimya kingi......Kweli ukoo huu hauna akili ya kuweza kumiliki mali kubwa lakini wajanja wanawatumia kujitajilisha kwavile wanajua wao hawana akili!! Muda wao wa utawala utakapokwisha hapo ndio watakapojua kuwa walikuwa wanatumiwa; hao wahindi wao wanaowatumia kuiba fedha na kuficha DUBAI sidhani kama watawaona tena!!! These people are so stupid that they do not learn from history; remember what befell Kighoma Malima when he found out that his Asian partners had conned him?
Uhusiano wa huyu kijana na Simon group ndio ulifacilitate ginnery zao kupata fedha nying za stimulus ambazo TIB ndio walikuwa wanazisimamia; mpaka leo hii serikali /TIB wameshindwa kuaccount jinsi hizi fedha zilivyogawiwa!!! Hata WAMA walikula fedha hii kupitia kampuni hewa za pamba za wakina KINGWANGALLAH!!!!Hawa ni ukoo wa panya.
Nyambala, naona karibu utaanza kughani taarab!!!
![]()
Inzi wetu kazeeka,hawezi nusa harufu,
uozo waongezeka, wafanywa pasi na hofu,
raslimali zatoweka, wezi wawa maarufu
ewe inzi tuambie, uda mali ya nani
basi huyu rizwan atakua anachuana na bill gates,kila kitu mnasema ni chake
kama mwizi sio kutajwa tu hata ikiwezekana achomweUsipo mtaja Riz huwezi lala kabisa
Hisa ziliuzwa mwaka 2009 na Ridhiwani a kapata sehemu ya umilikaji wa Ginnery ya Malampaka na ile iliyoko Misungwi......