Simon Group na Ridhiwani Kikwete wana uhusiano gani?

Nyie mnashindwa kujuwa kitu kimoja ,rudi nyuma kipindi cha Mzee mwinyi na Mzee mkapa familia haikuwa sehem ya serikali au sehem ya maamuzi ya Nchi ,acha wachume ila vitatoka puani Kama vya hayati gadafi siku moja ,Maana kila mkoa sasa anasheli na Kkoo magorofa anapanda Kama uyoga ,hela imetoka wapi kwa muda gani aliochuma na wapi ni mshahara au?
 
Huyo Simoni mnae msema katumiwa Jina tu wanaomiliki ni viongozi na watotowao ndio Maana ukiligusa tu jambo Hilo watu mishipa inawatoka wakijuwa usalama umevamiwa Kama ilivyokuwa Richmond ,ukitaka kujuwa nacho sema subiri 2015 Mtu akose uraisi Tanzania tutapata Siri nyingi sana ndani ya serikali na chama MUNGU atupe uzima tuje tuone wanavyo vuana NGuo hadharani
 
Huyo Simoni mnae msema katumiwa Jina tu wanaomiliki ni viongozi na watotowao ndio Maana ukiligusa tu jambo Hilo watu mishipa inawatoka wakijuwa usalama umevamiwa Kama ilivyokuwa Richmond ,ukitaka kujuwa nacho sema subiri 2015 Mtu:what: akose uraisi Tanzania tutapata Siri nyingi sana ndani ya serikali na chama MUNGU atupe uzima tuje tuone wanavyo vuana NGuo hadharani

Mtu ......
Mkuu tupe mwangaza
 
basi huyu rizwan atakua anachuana na bill gates,kila kitu mnasema ni chake

Tangu nimeanza kusikia huyu Ridhiwani akitajwa kwenye umilikaji au uanahisa kwenye makampuni au mashirika. Nadhani ana utajiri mkubwa kuliko hata Dangote! Duh!
 
Simon group imeanzisha ginnery mwanzoni mwa mikakati ya 2000,kipindi hicho riz1 bado alikuwa kijana Mdogo,,,from what I know prof kapuya is all behind this

je unajua kwamba mwaka 2007 rais kikwete ndiye aliyeenda kuifungua/kuizindua hiyo ginnery? na ilikuwa inaitwa/ilikuwa chini ya simon agency ltd! unajua kwa nini kikwete alienda kuizindua?
 
KITENDO CHA KISENA KUMPIGA NGWALA ( NA MAKOFI ) ocd NA KUMSINGIZIA KESI YA MAUAJI SHIBUDA TENA BILA KIZUIZI CHOCHOTE ni ushujaa mno ! HONGERA KISENA , WEWE NI MWAMBA !
 
Nyie mnashindwa kujuwa kitu kimoja ,rudi nyuma kipindi cha Mzee mwinyi na Mzee mkapa familia haikuwa sehem ya serikali au sehem ya maamuzi ya Nchi ,acha wachume ila vitatoka puani Kama vya hayati gadafi siku moja ,Maana kila mkoa sasa anasheli na Kkoo magorofa anapanda Kama uyoga ,hela imetoka wapi kwa muda gani aliochuma na wapi ni mshahara au?

nimekuelewa sana .
 
Kumekuwa na kizungumkuti kikubwa sana kuhusu kampuni ya Saimon Group na hisa za shiriki la UDA , na kizungumkuti hiki kinatokana na ukweli kuwa hisa hizo ziliuzwa kihuni huni , kuna harufu kubwa ya rushwa nk .

Maswali ya kujiuliza ni kama ifuatavyo;

i. Saimon Group ni nani ,

ii. Nguvu za kuligawa hata Bunge anazitoa wapi ,

iii. Nani yuko nyuma yake ,

iv. Ni akina nani ni wana hisa wa Saimon Group,

v. Ni kwanini magari yake yote 300 yalipewa tax exemption ,

Natoa some clue lead kwa ajili ya JF MEMBERS kufanya ufuatiliaji wa kina .....

i. Ni kuwa Saimon Kisena , aligombea Ubunge Jimbo la Maswa Magharibi mwaka 2010 na alishindwa na Shibuda kwenye kura za maoni ila jina la Shibuda lilikatwa na kamati kuu, ndipo Shibuda kaenda Chadema .

ii. Wakati wa Kampeni , Ridhiwani Kikwete alifanya kazi kubwa sana ya kampeni kwenye majimbo matatu nchini ambayo yalikuwa ni Maswa Magharibi ( Saimon Kisena ) , Shinyanga Mjini ( Masele ) na Meatu ( Salum Mbuzi ) .

iii. Saimon Kisena , anamiliki Ginnery ya Pamba iliyoko Malampaka , na Ginery hii ilinufaika na fedha za stimulus package ambazo ni fedha za umma , na mpaka leo bado hakuna taarifa rasmi za ni akina nani walinufaika na fedha hizi kiasi cha shilingi trilioni moja na usheee....

iv. Kuna taarifa za uhakika kuwa Ridhiwani Kikwete ,ni share holder wa Saimon kwenye Ginnery hiyo , na hata kwenye umilikaji wa UDA ni sehemu ya Kampuni husika .

Naomba tujadili kwa lengo la kutafuta majibu ya maswali hapo juu.

Nitaendelea baadae ...

Safari_ni_Safari


Mwaka 2010 Simon Kisena akigombea nafasi ya kuwa mgombea ubunge ndani ya CCM alidiriki kumpiga mtama OCD wa huko Maswa na OCD yule ndiye akaadhibiwa kwa kuhamishwa kituo cha kazi

ahsante kwa kutujuza mkuu.
 
Back
Top Bottom