SimbaSc v Black Leopard Live Updates

Ila YANGA ni hatari,yani wamesajili hadi washabiki wa Simba?!!!
 
Mkuu 8 hazifiki lakini watakiona cha moto leo,hivi kama uko sawa unaweza kwenda kufanya mazoezi Oman,au walikwenda kupumzika kwa ajili ya Maulid kesho???!!

Mkuu gahawa itakuwa imekimbilia miguuni
 

Mkuu adakiss23 vipi hako kagoli kamekuchanganya?,mi nilikwambia haya maneno yako utayakataa,sasa Thread umeanzisha mwenyewe halafu hutaki kutoa updates,mpaka usaidiwe,haya bana kwa sababu hii ndiyo JF tutakusaidia ku-updates.
 
Mkuu umeingia tu humu bila kusoma comment za wadau?!haya umeshaanza na tayari mnako kamoja.

Mkuu nimetoka msibani nikaangalia za mwanzo kumbe simba kapakatwa na nyau.
 
Bado 1-0 ila la masia wanaucheza. Naamini hata aliye uwanjani ataniunga mkono

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Aisee huyu kijana Singano ni hatari sana sema hajapata tu uzoefu.
 
Bado 1-0 ila la masia wanaucheza. Naamini hata aliye uwanjani ataniunga mkono

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkuu mnalo hilo lakini nakuunga mkono kwamba mnaupiga,ngoja tuone labda baada ya mapuziko ya muda mfupi ujao mtabadilika na kuleta wazoefu kwa sababu mna nafasi 5-6,lakini najua kwamba mwenye nacho huongezewa.
 
HT King Of the jangle u20 0_1 Black Leopard (ABSA Premier League Team)



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nimipenda sana hii mkuu,halafu unajua mi nilikuwa najua we ni simba kutokana na spidi uliyoingia nayo humu??!!!

Mkuu simba ni Crashwise naona kajificha kwa Rage naona Julio alienda Oman kufanya mazoezi ya kula tende
 
Last edited by a moderator:
Ameiva kama Msuva huko Oman?

Weeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!Thubutu,hakuna mchezaji hata mmoja simba wakumlinganisha na mchezaji wa Yanga kwa sasa,na kibaya zaidi kuondoka kwa Okwi ndio kumemaliza kabisa ubora wa Simba,kwangu mimi huyo ndiye alikuwa mchezaji simba na siku zote nimekuwa nikisema,na ushahidi ndiyo huo hapo alipo hivi sasa.
 

Mkuu Boban hajaingia? Ndiye tegemeo la simba
 
Manji anawasaanii tu wavaa ndala. Katika mapatano ya ziara ya paka, inasemekana conditions zilikuwa ni kwamba ili wagarimiwe na Manji basi ni budi wakubali kufungwa x 2
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…