soso
Member
- Sep 2, 2007
- 39
- 11
Haya ndiyo maneno lakini siyo kwamba ooooo mpiga debe! Huyo alikuwa mpiga debe sasa siyo kajikomboa tumtake awakomboe wengine. Amepigana kwa juhudi hadi amekuwa msomi lakini watu hawataki! Big UP Simba kama Simba jana.
Mijitu mingine bana... yaani sredi inakwenda vizuri yenyewe inaharibu hali ya hewa. Sasa haya mambo ya simba jana yanakujaje, acheni machungu ya watu yapungue bana...:angry: