Simbachawene: Toka mpiga debe hadi Naibu waziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simbachawene: Toka mpiga debe hadi Naibu waziri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ebaeban, May 6, 2012.

 1. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,834
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Usihangaike na CV Ya Mh. Simbachawene cha zaidi ni Degree ya sheria toka chuo kikuu huria, lazima atakuwa ni kichwa au degree zenyewe za chuo hicho ni nyepesi kwa sababu wakati anajisomea chuo hicho huria alikuwa ni mpiga debe katika mabasi ya shemeji yake George Chove , mabasi ya urafiki. Alikuwa akipiga debe lake Stand ya zamani Dodoma pale Nyuma ya SIDO. Alichokuwa anawaudhi wasafili ni ile tabia yake ya kuwahi mizigo ya abiria na saa ingine kuwabeba na kuwaingiza katika basi lake la Urafiki hasa wanawake alikuwa anawabeba akiwashika sehemu zingine ambazo walikuwa hawapendi,


  Siku moja mpiga debe mwenzie akiitwa Gerard alisagwa na basi siku hiyo Simbachawene alilia kama motto mdogo. Hata hivyo wadau wengi hawashangai sana kwani Josep Starling alikuwa shoe shiner hadi Rais wa Urusi ile ya zamani kabla ya kusambalatishwa na marekani.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tehe......tehe.....Kwiiii......kwiiii.....
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hiyo ilikuwa lini?
  toka skipindi hiko hadi ubunge alifanya nini?
   
 4. k

  kajugu Senior Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  unataka kutuambia nn hpa?
   
 5. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Aisee, anastahili pongezi kwa jitihada alizofanya hadi kufika hapo. Hongera sana SIMBA!
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kusema ukweli naamini george anaweza kuleta something different he seems to be strategic
   
 7. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ....abarikiwe.
   
 8. commonmwananchi

  commonmwananchi JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 2,183
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Kama taarifa hii ni ya kweli,basi huyu bwana atakuwa ni mpiganaji wa kweli wa maisha kwa sababu hata wakati anagombea ubunge alifanya kampeni ambayo ilimfikisha maeneo yote aliyokulia na walimpatia kura zao.na huenda wote wanaijua historia yake hiyo na walimpa ubunge wakitarajia ni mtoto wa maskini.

  Tatizo linaanzia pale alipoingia bunngeni na kurudia kazi yake ya zamani ya upiga debe,safari hii akipigia debe basi moja linaloitwa ccm na dereva wa basi hilo anaitwa jakaya kikwete.pia kampuni hiyo ina ofisi yake kuu ya booking pale chimwaga Dodoma.

  Sasa amepata promo ya kuukwaa ukuu kupitia kampuni hiyo ingawa nayo inaonekana kuyumba kama ile ya mjomba wake ambayo kwa sasa imefilisika kama hii ccm ilivyoanza kufilisika..kama lile la kenya ambalo lilipata ajali siku nyingi maarufu kama kanu.
   
 9. i

  innocent j Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajaribu kutuambia nini hapa?
   
 10. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ni mfano wa kuigwa. Never say never in life. Hongera zake.
   
 11. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  kuna nini cha ajabu unachotka kusema juu yake...basi atakuwa anajua tabu ..na anaweza akawa anatufaa au asitufae!
   
 12. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Lipi jema kwa watanzania, mimi sioni kama ni kosa la Rais kumchangua mpiga debe. Tatizo ni letu sisi wananchi kumchangua mpiga debe kuwa Mbuge.

  Na zaidi Rais hana watu wa kuwachangua CCM maana wengi ni mchwa huyo ndiyo ameonekana bora kati ya wakora wengi. Tumuombee awe msikivu na mzalendo ili afanye kazi kwa maslahi ya wananchi
   
 13. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,709
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Kwa hali ilivyo sauti itamkauka na abiria wataendelea kushuka kutoka kwenye basi lao!
   
 14. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Anayo bar yake pale vingunguti relini ,mara nyingi yuko hapo wakati wa mapunziko ya bunge!
   
 15. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimefarijika mleta mada amejijibu mwenyewe kwamba unaweza ukawa shoe shiner lakini ukaishia kwenye Urais. Simba alikuwa mpiga debe lakini akaonyesha juhudi hadi kupata degree na sasa anasoma degree ya uzamili katik utawala. Hizo ni juhudi za kupigiwa chapuo tusibweteke tukijiwezesha tunaweza.

  Hata mimi imani yangu ni kwamba Simbachawene anaweza kutuletea kitu. Shilingi yangu naitupa kwake.
   
 16. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,686
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hadithi hii kakufundisha nani??!!
   
 17. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280

  Simba kweli kuna muda aliwahi kujaribu kuwa mtu wa maana pamoja na kina Ane kilango, ...
  Lakini naona , kama alivyosema jamaa mmoja hapo juu kaamua kurudia kazi yake ya zamani ya upiga debe kwa kuipigia
  debe CCM.

  Tena wakati mwingine huwa anaamua tu kuwabishia kina Tundu Lissu, sui kwanini!?
  Nakumbuka Tundu Lissu alipothibitisha kisheria kuwa kuvaa skafu yenye bendera ya taifa alikofanya mbunge mmoja wa
  ccm bungeni....hilo ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria zetu, na Lissu akashauri jamaa ashugulikiwe kisheria au bunge
  litamke kuwa sheria hiyo imefutwa!

  Ajabu ya dunia Simbachawene alikuwa amekaimu kiti cha spika ......akasema eti Lissu amepitwa na wakati sababu hilo
  swala raisi alishatamka kuwa watu waachwe wavae bendera za taifa!!!!!

  Hapo ndipo nikamdharau sana sana bwana huyu, tamko la raisi lina tengua sheria???
   
 18. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 2,461
  Trophy Points: 280
  Jitahada binafsi ndio zilizomfikisha hapo (elimu) Hongera yake. Ila linapokuja swala yeye kuwa miongoni mwa askari wa kikwete kuleta ukombozi, ni lazima atachemka tu..
  Najua unataka sababu nayo nii hii tena kuu; Hakuna mpiganaji wa kweli ndani ya CCM, after all nadhani atakuwa resi kuhakikisha anakwapua masalia kwani magamba mwisho wao u-karibu,,,.
   
 19. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana Simbachako. Umejitahidi sana ku fight
   
 20. k

  kamili JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Mama J. Banda alikuwa muuza maandazi, leo ni rais wa Malawi. Huu ni mfano wa watu wanaojitengenezea opportunity wenyewe wanahitaji sifa ya pekee. Labda wakiboronga kwenye utawala wao, na sasa tutamhukumu kwa uongozi wake bila kuathiri historia yake ya mfano. Mengine uliyosema sioni kama yana msingi hapa hata mimi ningelia kama mtoto mdogo kama ningeona binadamu mwenzangu kasagwa na gari!!!
   
Loading...