Simbachewene amerogwa na nani?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,111
115,906
Kuna habari nilitumiwa tu online ikisema Waziri Simbachewene amesema
kuanzia sasa serikali haita ajiri 'watu wenye vyeti vya kuunga unga' akimaanisha watu waliosoma mfano certificate...na baadae kujiongeza hadi degree au wale ambao walisoma kidogo kidogo huku wameajiriwa hadi kufika chuo kikuu..

Simbachewene huyu huyu amenukuliwa akisema wapinzani hawaruhusiwi kutekeleza sera za vyama vyao iwapo wameshinda halmashauri.

Kinachoshangaza Simbachewene mwenyewe historia yake inafahamika
alisoma kwa kuunga unga na inajulikana alikuwa 'mpiga debe'
stendi ya mabasi Dodoma kabla ya kuunga kuunga hadi kufika chuo kikuu

Ukichanganya na hili la wapinzani wasirihusiwe kutumia ilani zao wakishinda uchaguzi nimebaki najiuliza tu ameshikwa na nini?

Nini kinamfanya aongee vitu kama hivi? kuna nini hasa? mbona alipokuwa kimyaa tulimuona kama kiongozi anaeonekana ana busara.Kuna nini kinamsukuma kuongea haya?

Hivi hata Magufuli hatuwezi kusema kasoma kwa kuunga unga? Au nini tafsiri ya kusoma kwa kuunga unga?
====================

TAARIFA HII IMEKANUSHWA NA OFISI YA RAIS-TAMISEMI

TAARIFA KWA UMMA
Tarehe 28/03/2016 ilisambazwa taarifa ya Uongo kwenye mitandao ya Kijamii ambayo ilikua na upotoshaji wa makusudi kwa jamii.

Taarifa hiyo imemnukuu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb) kwamba ametoa tamko kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa “ Serikali haiko tayari kuajiri wasomi wenye vyeti vya baraza la Mitihani kuanzia vyeti viwili na kuendelea,watakaopata ajira yoyote ile moja kwa moja serikalini ni wasomi wenye cheti kimoja tu”.

Lakini pia taarifa hiyo ambayo ilikua na maneno ya kudhalilisha iliendelea kusema kuwa “Wale waliosoma kwa kuunga unga, mara kutafuta credit, mara kurudia mitihani watafute ajira kwenye Mashirika Binafsi”
Taarifa hiyo imendelea kupotosha kuwa kwa Ajira za Walimu mwaka 2016 watakao ajiriwa ni wale ambao walisoma moja kwa moja tu.

Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesikitishwa sana na uzushi huu ambao unalenga kuipotosha jamii, kudhalilisha taaluma za Wananchi na kupoteza muda wa Watanzania.

Serikali inawaonya wote wanaojihusisha na kutengeneza Uongo na Upotoshaji wa aina hii kuacha mara moja na serikali haitasita kuchukua hatua stahiki ili kuhakikisha jambo hili haliendelei kutokea.

Ofisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuwaarifu Watanzania wote kuipuuza habari hiyo kwani haina ukweli wowote.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Ofisi ya Rais-TAMISEMI,
29 Machi, 2016.
 
Simbachawene huyu huyu aliyebadili kanuni za uagizaji wa mafuta kwa pamoja ili apige cha juu matokeo yake mpaka leo mafuta yamegoma kushuka kwa japo mafuta soko la dunia yameshuka??

Kuna watu wanajisahau sana, halafu wanajiona watakatifu mno.
 
Kuna habari nilitumiwa tu online ikisema Waziri Simbachewene amesema
kuanzia sasa serikali haita ajiri 'watu wenye vyeti vya kuunga unga'
akimaanisha watu waliosoma mfano certificate...na baadae kujiongeza hadi degree
au wale ambao walisoma kidogo kidogo huku wameajiriwa hadi kufika chuo kikuu..

Simbachewene huyu huyu amenukuliwa akisema wapinzani hawaruhusiwi kutekeleza
sera za vyama vyao iwapo wameshinda halmashauri....

Kinachoshangaza Simbachewene mwenyewe historia yake inafahamika
alisoma kwa kuunga unga.....na inajulikana alikuwa 'mpiga debe'
stendi ya mabasi Dodoma..kabla ya kuunga kuunga hadi kufika chuo kikuu

Ukichanganya na hili la wapinzani wasirihusiwe kutumia ilani zao wakishinda uchaguzi
nimebaki najiuliza tu...ameshikwa na nini?

Nini kinamfanya aongee vitu kama hivi?
kuna nini hasa? mbona alipokuwa kimyaa tulimuona kama kiongozi anaeonekana ana busara..
kuna nini kinamsukuma kuongea haya?

Hivi hata Magufuli hatuwezi kusema kasoma kwa kuunga unga?
au nini tafsiri ya kusoma kwa kuunga unga?

nimemsikia leo akikanusha....kasema ni taarifa za uzushi na kaapa "walahi sikusema mimi".
 
Umemsikia wapi mkuu
kama ni uzushu hakusema mods waifute tu hii thread
cc Invisible....

TAARIFA KWA UMMA
Tarehe 28/03/2016 ilisambazwa taarifa ya Uongo kwenye mitandao ya Kijamii ambayo ilikua na upotoshaji wa makusudi kwa jamii.

Taarifa hiyo imemnukuu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb) kwamba ametoa tamko kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa “ Serikali haiko tayari kuajiri wasomi wenye vyeti vya baraza la Mitihani kuanzia vyeti viwili na kuendelea,watakaopata ajira yoyote ile moja kwa moja serikalini ni wasomi wenye cheti kimoja tu”.

Lakini pia taarifa hiyo ambayo ilikua na maneno ya kudhalilisha iliendelea kusema kuwa “Wale waliosoma kwa kuunga unga, mara kutafuta credit, mara kurudia mitihani watafute ajira kwenye Mashirika Binafsi”
Taarifa hiyo imendelea kupotosha kuwa kwa Ajira za Walimu mwaka 2016 watakao ajiriwa ni wale ambao walisoma moja kwa moja tu.

Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesikitishwa sana na uzushi huu ambao unalenga kuipotosha jamii, kudhalilisha taaluma za Wananchi na kupoteza muda wa Watanzania.

Serikali inawaonya wote wanaojihusisha na kutengeneza Uongo na Upotoshaji wa aina hii kuacha mara moja na serikali haitasita kuchukua hatua stahiki ili kuhakikisha jambo hili haliendelei kutokea.

Ofisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuwaarifu Watanzania wote kuipuuza habari hiyo kwani haina ukweli wowote.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Ofisi ya Rais-TAMISEMI,
29 Machi, 2016.
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS

TAARIFA KWA UMMA
Tarehe 28/03/2016 ilisambazwa taarifa ya Uongo kwenye mitandao ya Kijamii ambayo ilikua na upotoshaji wa makusudi kwa jamii.
Taarifa hiyo imemnukuu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb) kwamba ametoa tamko kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa “ Serikali haiko tayari kuajiri wasomi wenye vyeti vya baraza la Mitihani kuanzia vyeti viwili na kuendelea,watakaopata ajira yoyote ile moja kwa moja serikalini ni wasomi wenye cheti kimoja tu”. Lakini pia taarifa hiyo ambayo ilikua na maneno ya kudhalilisha iliendelea kusema kuwa “Wale waliosoma kwa kuunga unga, mara kutafuta credit, mara kurudia mitihani watafute ajira kwenye Mashirika Binafsi”
Taarifa hiyo imendelea kupotosha kuwa kwa Ajira za Walimu mwaka 2016 watakao ajiriwa ni wale ambao walisoma moja kwa moja tu.
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesikitishwa sana na uzushi huu ambao unalenga kuipotosha jamii, kudhalilisha taaluma za Wananchi na kupoteza muda wa Watanzania.
Serikali inawaonya wote wanaojihusisha na kutengeneza Uongo na Upotoshaji wa aina hii kuacha mara moja na serikali haitasita kuchukua hatua stahiki ili kuhakikisha jambo hili haliendelei kutokea.
Ofisi ya Rais – TAMISEMI inapenda kuwaarifu Watanzania wote kuipuuza habari hiyo kwani haina ukweli wowote.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Ofisi ya Rais-TAMISEMI,
29 Machi, 2016.
 
Kuna habari nilitumiwa tu online ikisema Waziri Simbachewene amesema
kuanzia sasa serikali haita ajiri 'watu wenye vyeti vya kuunga unga' akimaanisha watu waliosoma mfano certificate...na baadae kujiongeza hadi degree au wale ambao walisoma kidogo kidogo huku wameajiriwa hadi kufika chuo kikuu..

Simbachewene huyu huyu amenukuliwa akisema wapinzani hawaruhusiwi kutekeleza sera za vyama vyao iwapo wameshinda halmashauri.

Kinachoshangaza Simbachewene mwenyewe historia yake inafahamika
alisoma kwa kuunga unga na inajulikana alikuwa 'mpiga debe'
stendi ya mabasi Dodoma kabla ya kuunga kuunga hadi kufika chuo kikuu

Ukichanganya na hili la wapinzani wasirihusiwe kutumia ilani zao wakishinda uchaguzi nimebaki najiuliza tu ameshikwa na nini?

Nini kinamfanya aongee vitu kama hivi? kuna nini hasa? mbona alipokuwa kimyaa tulimuona kama kiongozi anaeonekana ana busara.Kuna nini kinamsukuma kuongea haya?

Hivi hata Magufuli hatuwezi kusema kasoma kwa kuunga unga? Au nini tafsiri ya kusoma kwa kuunga unga?

Wzr Alikanusha hiyo habari? akiuliza source
 
Mimi huwa Sielewi maana ya elimu ya kuungaunga. Kama mtu ana degree haijalishi kafikaje hapo.
Kasoma na ambao hawakuunga na kafaulu. Ni sawa na kwenye mpira wa miguu. Haijalishi kama ni magoli ya penati au kona au mpira wa adhabu. Ni magoli tu na ushindi ni ushindi tu
 
Back
Top Bottom