Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,536
- 12,481
Hata diadora ana mkataba wa kutengeneza jezi za simba kupitia mzabunilogo ipo hapo kwa Sababu puma ana mkataba na man city.
Jiulize je diadora ana mkataba wowote na simba?
Hata diadora ana mkataba wa kutengeneza jezi za simba kupitia mzabunilogo ipo hapo kwa Sababu puma ana mkataba na man city.
Jiulize je diadora ana mkataba wowote na simba?
Hata diadora ana mkataba wa kutengeneza jezi za simba kupitia mzabuni
Diadora anamkataba Gani na simba acha uongoHata diadora ana mkataba wa kutengeneza jezi za simba kupitia mzabuni
Kabla ya ligi kuna ngao ya jamii mwenge hauviki kijijiNdo Hersi amekuambia hivyo? Anyway hiyo inawahusu wao .. tuendelee na yetu. Hersi anasemaje msimu huu? Ubingwa wa ligi sina shaka je huko Kimataifa tumejipanga? Maana wewe huwa unapata za ndaaani kabisa 😀
We kweli mbumbumbuKiba ni kati ya vijana wa hovyo na wasiojielewa ,
,tena viongozi wa Simba wanapaswa wakemee juu ya hilo,,
Kama kaziba betway mbona Mo cola inaonekana kwahyo kalipwa sh ngp kuitangaza Mo cola?
-Simba wameingia mkataba na Jeirut na hyo kampuni inadeal na kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya brand ya Diadora,
kwahyo ulitaka Simba wavae jezi ambazo zilipotengenezwa hazijulikani?
Simba ni timu kubwa na hawezi kuvaa jezi bila brand tushavuka huko..
Duniani kote watu hawajivalii tu kitu watu wanavaa BRAND..
Nike, Adidas,Puma, Diadora, ,Assics, Reebok,New balance,under Armour,Fla, sketcher,Nautika, Columbia nk.
Jezi zako zimetengenezwa brands ipi?
Huo ukubwa wa akili zako ni za kuingilia na kutoka chooni wakati wa kujisaidiia lakini si kingine.We kweli mbumbumbu
Kwa akili zangu kubwa nilizojaliwa na Mungu na kuongeza maarifa mengine ni aibu kwangu kuendelea kujizana na wewe mbumbumbu
Ndo maana nikamwambia awali kabisa huna akiliHuo ukubwa wa akili zako ni za kuingilia na kutoka chooni wakati wa kujisaidiia lakini si kingine.
Unahoji Simba kuvaa brands?
Hao ni watengenezaji vifaa vya michezo na ndy watengenezaji wa hizo jersey.
ni sawa na nguo yako iandikwe made in China,
kwahyo unawatangaza wachina biashara?
Alikiba anajuwa thamani yake Kwa Diadora pekee?Ndo maana nikamwambia awali kabisa huna akili
Simba inatakiwa ilipwe pesa ili wavae nembo ya diadora. Simba ni brand kubwa.
Ndo maana Ali Kiba anajua thamani yake aligoma kuvaa betway anataka wakae mezani wampe pesa avae awatangaze.
Acha umbumbumbu
Anapoitangaza nembo ya Simba kalipwa nn na Simba?Alilipwa
Kwahyo kalipwa kuimba au kutangaza brand?Hujui hiyo ni shughuli ya Simba na Ali Kiba hawezi kuja kuimba bure
Timu zetu zinatakiwa zobadilike haiwezekani sehemu ya kukaa jina la kampuni iliyotengeneza jezi anaichukua MO cola ambaye siyo aliyetengeneza jezi, Duniani kote jezi zote upande wa kushoto juu inakua nembo ya timu na upande wa kulia kuna newbie ya kampuni iliyotengeneza jezi mfano Nike, Puma, Adidas, Diadora. Na lazima kampuni iingie mkataba na Timu wakutengeneza jezi na siyo mawinga ndiyo anaingia mkataba na timu kisha wings anaenda China kutafuta jezi.Endeleeni kuzitangaza jezi za mnyama....
Jopo la Simba lina akili kuliko ukoo wako wote...
Kwahyo kalipwa kuimba au kutangaza brand?