Manufaa wakati mwenye zabuni ni jayrutty ndo anatakiwa atangazweMbona mnawaka hasira??.
Nyie ndo wenye akili kuwashinda Simba? Acheni ujinga na kujiona mnajua kuliko walioko jikoni.
Ukiona logo ipo pale basi ni kwa manufaa ya pande zote mbili..
Acheni uzuzu....
Hizo za Puma sijui Nike wenyewe mmezisikia tuu...so endeleeni kusikia na za diodora na Simba
Uzuri uzuzu mnao sana so mnadhani mgmt ya Simba iko kama huo utopolo wenu...Unadhani man city ni mbumbumbu kama nyie makolo
Zuzu ni zuzu...Manufaa wakati mwenye zabuni ni jayrutty ndo anatakiwa atangazwe
Jayrutty ndo aliingia na Simba mkataba wa jersey billion 38, uliona wap diadora kutajwa
Amekujibu?Kwa hiyo?
Ahsante mkuu, unajua huyu jamaa bora angeuliza, angetafuta mtandaoni na kama asingeridhika angeendakuuliza katika vyanzo vya club. Yaani kwa akili yake na uzoefu wake huyu mtoa mada anaona Mo na shule yake, exposure na business experience angeweza kuacha tu jambo kama hilo!!!Italian sportswear company Diadora is the official kit manufacturer for Tanzanian giants Simba SC under a partnership with local company Jayrutty Investment Company Limited. Jayrutty signed a five-year deal with Simba SC and subsequently entered into a separate agreement with Diadora to produce the club's official kits and merchandise for the upcoming season
Kuna jamaa yangu ni Yanga lialia. Jezi za Yanga zikitambulishwa usiku wa saa nane, yeye asubuhi kahawani anakuwa ameitimba Mwamba!!! Hii imeenda kama miaka saba mfululizo!Nimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba
Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio diadora,
Jayrutty ndo alienda nae kumsaka diadora amtengenezee jersey, kwaiyo mwenye haki ya kuonekana kwenye jersey ni jayrutty tu
Ni sawa na pale Yanga mzabuni wa kutengeneza jersey ni GSM, lakini GSM alimtafuta Sheria Ngowi amtengeneze, na hatujawahi kuona jersey ya Yanga ikiwa na nembo ya Sheria Ngowi
Simba wanazidiwa na Ali Kiba anatambua thamani yake aligoma kuvaa jersey ya Simba yenye nembo ya betway, anataka betway atow pesa ndo avae chata yake
Jezi ya Simba imejaa matangazo kama gazeti la saniView attachment 3461686View attachment 3461687
Mazuzu hawawezi kukuelewaHow This Is Possible: The Three-Party Deal
This structure is not only possible but is becoming increasingly common in football, especially for clubs looking to maximize commercial revenue. It moves beyond a simple two-party deal (club + brand). Here’s the typical arrangement:
1. Simba SC (The Club): They own the most valuable asset—their brand, logo, fan base, and player jerseys as advertising space. They are looking for a company to manufacture their kit and, ideally, pay them for the privilege.
2. Diadora (The Brand): They are the technical manufacturer. They have the expertise, factories, and global supply chain to design, produce, and distribute high-quality sports apparel. They want their brand on a popular team to gain exposure and sell merchandise.
3. Jay Rutty Investment Company (The Middleman / Rights Holder): This is the key to the deal. This company acts as an intermediary. Here’s what they likely do:
· Rights Acquisition: They pay Simba SC a large, guaranteed sum of money to acquire the exclusive "kit licensing rights" for a set number of years. This means Simba sells the right to produce and sell its branded merchandise to Jay Rutty.
· Brokering the Deal: Jay Rutty then turns to a technical partner like Diadora. They subcontract the actual manufacturing to Diadora, likely paying them a fee or agreeing on a profit-sharing model from merchandise sales.
· Assuming Risk: Jay Rutty takes on the financial risk. They bet that the money they make from selling Simba jerseys and other merchandise (both in Tanzania and internationally) will be greater than the lump sum they paid to Simba and the fees paid to Diadora.
In essence, Jay Rutty Investment Company is not just a middleman; they are the temporary owner of Simba's retail business. They invest upfront cash into the club and hope to make a return on that investment through retail sales.
---
What Benefits Does Simba SC Get?
This model provides significant benefits to Simba SC, which is why clubs opt for it.
1. Financial Security & Large Guaranteed Cash Injection
This is the biggest benefit. Instead of earning variable, uncertain royalties from shirt sales (which might be low due to piracy or a limited retail network), Simba gets a huge lump sum payment upfront. This cash is guaranteed, regardless of how many jerseys are ultimately sold. This money can be immediately used for:
· Player Transfers and Salaries: Signing better players to dominate domestically and compete in Africa (CAF Champions League).
· Infrastructure: Upgrading training facilities, stadium amenities, etc.
· Stabilizing Finances: Ensuring operational costs are covered for the season.
2. Access to a Global Brand and High-Quality Product
· Quality: Partnering with an established international brand like Diadora ensures the team and fans receive high-quality, durable kits that meet modern standards. This enhances the club's professional image.
· Global Reach: Diadora's distribution network can help get Simba jerseys into stores across Africa and even in Europe, expanding the club's global brand presence far beyond what they could achieve alone. This is crucial for growing their international fanbase.
3. Reduced Operational Burden and Risk
· No Inventory Risk: Simba does not have to worry about manufacturing, storing, shipping, or selling the merchandise. That burden and risk fall entirely on Jay Rutty and Diadora.
· No Upfront Costs: The club doesn't have to pay for the production of the kits. They receive money instead of spending it.
4. Enhanced Marketing and Brand Perception
· Prestige: Being associated with a well-known Italian sports brand like Diadora adds a layer of prestige and "European quality" to the Simba brand. It makes the club appear more ambitious and professional.
· Marketing Support: These deals often include marketing support from the brand, such as global advertising campaigns featuring the kit, which further promotes the Simba SC name.
5. Potential for Performance Bonuses
The deal likely includes clauses where Simba receives additional bonus payments if they achieve certain sporting goals (e.g., winning the league, progressing far in the CAF Champions League). This aligns the success of Jay Rutty's investment with the club's on-field performance.
In a Nutshell:
Simba trades the uncertain long-term profits from shirt sales for a large, guaranteed cash payment today. They offload all the work and risk of manufacturing and retail onto Jay Rutty and Diadora, while simultaneously boosting their brand image with a high-quality product from a renowned international supplier.
This deal is a sign of Simba's commercial growth and ambition to operate like a top-tier modern football club.
Teh teh sisi tunataka sports kit zenye quality, mtu wetu ni Jayrutty yeye kawa sub contract Diadora, yaliyobaki ni masuala yako kichwani.Ao Diadora na Simba wote ni pipa na mfuniko maana milage zao zipo sawa.
Diadora haipo Tena katika kampuni za ushindani katika watengenezaji wa kits za michezo.
Uko Duniani Diadora ni kama Sido, hawana nguvu katika soko la Dunia ya michezo.
Hakuna timu yoyote kubwa Duniani kwa Sasa anaye vaa bidhaa za Sido (Diadora).
Ni wahuni wamekuja kuwadanganya Mbumbumbu fc kwamba wao ni wakubwa uko Duniani katika uzalishaji wa kits za michezo.
Ata uchukue klabu maarufu 100 Duniani hakuna zinazo vaa Diadora kits.
Tatizo lako una ID nyingi hapa jamii forumsKuna jamaa yangu ni Yanga lialia. Jezi za Yanga zikitambulishwa usiku wa saa nane, yeye asubuhi kahawani anakuwa ameitimba Mwamba!!! Hii imeenda kama miaka saba mfululizo!
Sasa msimu huu, tumemwekea hadi dau la sh. laki tano aje amevaa jezi ya Yanga ya msimu huu wa 2025/20126 AMEGOMA. Sababu anasema HAWEZI KUVAA MSALABA kifuani kwasababu yeye huenda kuhiji Mecca!
Ebu nishauri ngara23, nifanyeje maana mpaka jamaa anafikiria kuwa mshabiki wa JKU Zanzibar wakati ni Mhaya pyua kabisa!!!
Daah nimecheka sana kumbe watu wa mpira vitu vingi vinawasumbua sana..View attachment 3461709 uache kukurupuka huoni logo ya puma hapo?
Wewe kuku unajua nini, mbona husemi kuna timu zimeweka hadi mipasho? Acha ujinga wewe hujui kituNimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba
Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio diadora,
Jayrutty ndo alienda nae kumsaka diadora amtengenezee jersey, kwaiyo mwenye haki ya kuonekana kwenye jersey ni jayrutty tu
Ni sawa na pale Yanga mzabuni wa kutengeneza jersey ni GSM, lakini GSM alimtafuta Sheria Ngowi amtengeneze, na hatujawahi kuona jersey ya Yanga ikiwa na nembo ya Sheria Ngowi
Simba wanazidiwa na Ali Kiba anatambua thamani yake aligoma kuvaa jersey ya Simba yenye nembo ya betway, anataka betway atow pesa ndo avae chata yake
Jezi ya Simba imejaa matangazo kama gazeti la saniView attachment 3461686View attachment 3461687
Believe that and you'll believe anything. ID yangu hii ipo tangu 2014. Unaweza ukaverify kwa Moderators. By the way, niwe na ID nyingi za nini? Kwani JF wanalipa wenye views nyingi?Tatizo lako una ID nyingi hapa jamii forums
Jiamini uwe na ID Moja, nitakuwa nakujibu unaibuka na ID nyingine, nachoka aisee
We ndo chizi maarifa, felakuti, PASENDA n.k
Kuwa kama demu wangu Kalpana ni mtani wangu mbumbumbu ila anajiamini ana ID 1 tu
Mkuu hawajui lolote wao wakiona jezi ya AC MILAN, MAN CITY Zina newborn ya Puma wanajua ni urembo tuMakolo vituko kweli, mnajisikia fahari kuvaa brand bila kulipwa hata 100, hayo makampuni ya kutengeneza jezi yanalipa mabilioni ya pesa kwa vilabu yatangazwe ninyi mnafurahia kutangaza bure😂😂😂
Mkuu master wote Dunia wameingia mikataba na Makampuni mfano Messi ameingia mkataba na Nike uwezi kumuona amevaa nguo zenye nembo ya Puma kwasababu ya mkataba una mkatasa, Ronaldinho aliingia mkataba na kampuni ya Vinywaji ya Pepsi na uwezi kumuona akinywa vinjwaji vya Cocacola, unajua sasa hivi Simba wanaweza kuongeza ata newborn ya Adidas kwenye jezi yao na Diadora asiongee lolote kwasababu Diadora hana mkataba na Simba, ni Sawa na Pepsi anaweza kuingia mkataba na Simba kuweka Tangazo lake la Pepsi na MO cola asilalamike.Diadora sio mdhamini bali ni brand ,
Hivi umeshawahi kuona star yeyote duniani anavaa vitu ambavyo havina brand?
Gucci
Lacoste
Ray band
Polo
Diesel
Nike
Adidas
Puma
Converse
Lee copper
Reebok
New balance
Aca joe
Lee jeans.
Wrangler jeans.
Levis jeans.
Nk.
Huwezikuvaa malapulapu ukajiita star.
Lazima uvae brand zenye kueleweka..