Simba wanamtangaza Diadora bure, viongozi hawajui thamani yao

Simba wanamtangaza Diadora bure, viongozi hawajui thamani yao

Hata diadora ana mkataba wa kutengeneza jezi za simba kupitia mzabuni
Mkuu wananchi tunapenda kuona timu zetu zikiingia mikataba moja kwa moja na kampuki za vifaa vya Michezo bila kupitia mawinga, tunaka kuona kama ilivyokua Betway walivyoingia mkataba moja kwa moja na Simba, Tunataka siku moja Adidas, Puma, Nike wakiingia mkataba na timu zetu na siyo mawinga.
 
Ao Diadora na Simba wote ni pipa na mfuniko maana milage zao zipo sawa.
Diadora haipo Tena katika kampuni za ushindani katika watengenezaji wa kits za michezo.
Uko Duniani Diadora ni kama Sido, hawana nguvu katika soko la Dunia ya michezo.
Hakuna timu yoyote kubwa Duniani kwa Sasa anaye vaa bidhaa za Sido (Diadora).
Ni wahuni wamekuja kuwadanganya Mbumbumbu fc kwamba wao ni wakubwa uko Duniani katika uzalishaji wa kits za michezo.
Ata uchukue klabu maarufu 100 Duniani hakuna zinazo vaa Diadora kits.
Mkuu Diadora kama simu ya mkononi ni simu za Siemens au Motorola.
 
Screenshot_20250902-160516_WhatsApp.jpg
Screenshot_20250902-160620_WhatsApp.jpg
 
Zungumzia klabu yako kulipwa buku jero kwa kila jezi ya elfu 35 haya ya diadora na simba hayakuhusu
 
Kiba ni kati ya vijana wa hovyo na wasiojielewa ,
,tena viongozi wa Simba wanapaswa wakemee juu ya hilo,,

Kama kaziba betway mbona Mo cola inaonekana kwahyo kalipwa sh ngp kuitangaza Mo cola?

-Simba wameingia mkataba na Jeirut na hyo kampuni inadeal na kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya brand ya Diadora,
kwahyo ulitaka Simba wavae jezi ambazo zilipotengenezwa hazijulikani?
Simba ni timu kubwa na hawezi kuvaa jezi bila brand tushavuka huko..
Duniani kote watu hawajivalii tu kitu watu wanavaa BRAND..
Nike, Adidas,Puma, Diadora, ,Assics, Reebok,New balance,under Armour,Fla, sketcher,Nautika, Columbia nk.

Jezi zako zimetengenezwa brands ipi?
Makolo vituko kweli, mnajisikia fahari kuvaa brand bila kulipwa hata 100, hayo makampuni ya kutengeneza jezi yanalipa mabilioni ya pesa kwa vilabu yatangazwe ninyi mnafurahia kutangaza bure😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom