New Manase
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 294
- 39
Ni baada ya kurudisha goli zote tatu wamefanikiwa kuvunja rekodi hiyo kama liverpool walivyocheza na ac milan
yani yanga mbwe mbwe nyingi alaf mpira wao umetawaliwa na siasa!Yaani Yanga ni timu ambayo kamwe haina
malengo nadhani kule walikokwenda
wakadhani Simba inatabirika
Wamejishangaa mpaka wakawa wanaziba nyuma
ila mimi mwenyewe nliogopa sana nkasema leo watatuongeza kama mbili dah kumbe mpira unadunda!Hawa madogo wa simba watakuwa tishio sana kweli king mputa na julio kwa hili kulen tano maana nilijua tunapakatwa leo bila malipo
yan magoli ya simba kama mbele vile!Hawa vijana wa Simba kweli leo wamenifurahisha sana.
Sijui angekuwa kaseja leo golini yangesemwa nni? Hongera batez
simba imeshinda ngapi?
Ni baada ya kurudisha goli zote tatu wamefanikiwa kuvunja rekodi hiyo kama liverpool walivyocheza na ac milan
Hawa vijana wa Simba kweli leo wamenifurahisha sana.