Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,792
- 140,708
Simba SC imefikia ushindi wa mechi 20 mfululizo katika Ligi Kuu Tanzania Bara, na hivyo kuvuka rekodi ya ushindi 19 mfululizo iliyowekwa na Bayern Munich katika Bundesliga ya Ujerumani.
Kwa mujibu wa taarifa ya The Citizen ya tarehe 3 Novemba 2026, Simba ilifikia rekodi hiyo baada ya kuifunga Namungo FC mabao 3–2 tarehe 2 Novemba 2026.
Rekodi hiyo imepatikanaje?
Mechi 10 za mwisho za msimu wa 2025/26: ushindi 10.
Mechi 10 za kwanza za msimu wa 2026/27: ushindi 10.
Jumla ni ushindi 20 mfululizo, bila sare wala kipigo katika kipindi hicho.
My Take
Tuseme nini sisi hatuna mawata playa wala Shashaman