Simba wamevunja rekodi kama Liverpool!

Simba wamevunja rekodi kama Liverpool!

Mi mgeni mnasema yanga na simba nani kamshinda mwenzake kimagoli na point 3? Maana naona mitaani watoto, wamama, vijana na wazee sherehe eti simba kaua!! Naomba mnijuze! Naanza kugundua kuwa timu mojawapo ukitoka nayo sare hasa kwa kurudisha bao basi ww umeshinda!!
 
Muulize Kocha wa Yanga kwa nini anahuzunika Timu yake ilivyomuangusha?kwanini wachezaji wametoka vichwa chini na mwazo wakati wa half time walibadilisha hadi miondoko?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom