Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
haiwezekani shabiki wa simba akafunga safari bure bure 2 kwenda uwanja wa taifa!
mji usingekalika huu
haiwezekani shabiki wa simba akafunga safari bure bure 2 kwenda uwanja wa taifa!
Hatushangilii sare tunashangilia ujinga na uzembe wa YANGA
hata mimi kwani zle 3 za yanga nilikuwa mdogo ka pilitoni hadi cmu nilizima!hadi sasa simamini kabisa kilichotokea jana
mwache aongee bana manake wengine hawaelewi hata jana kama ilikuwa ni ligi kuu wanajua ni mechi ya kirafiki hahahaha!Lusoli ni mshamba, halafu asisahau kwamba kwa sare tumewazidi pengo la pointi kinyume kama wangeshinda , kimahesabu, tumewshinda pinti mbili kwa sare ya jana
hahahahahahahaha! Lolmji usingekalika huu
Asubuhi hii nimemsikiliza jamaa mmoja toka Clouds FM akiwafananisha na Alizeti zilizopigwa na jua Mashabiki wa Yanga na Jezi zao pale uwanjani jana mara baada ya Simba kusawazisha Mabao yote.
tulikuwa ha2na raha mimi nlizomewa mpaka nkataka kusepa ila kipnd cha 2 ndo waliiosoma hahaha!walizimia hovyo
na hii hawatosahau!unajua waliamini tano zinarudi, huo ndio ushindi mwingine wa simba
hahahahahahaha! Dah anatia hurumaSteve wa Yanga alisema atajinyonga sijui
yupo hai ama kafanikisha azma yake.
Uzembe na ujinga walifanya Simba kipindi cha kwanza kwa hiyo mlishangilia kuufuta huo au??
hahahahaha! Mwaka wa simba huu ilikuwa kuna ulazma wakuwazidi point, wape pole sanayaani, kama mambo yangebaki vilevile, nisingeingia kw aofc leo, kuna watu ofcin kwangu wamechanjiwa yanga yanga,
laini sa hv , raha mustarehe, hakuna anaenisogelea, wote wamenuna
dah inaumiza lakini hahahahahahaha!bado una stress tu?cheer up bro Mbona mwenzio Ngasa alicheka uanjani baada ya mechi as if hakuna kitu kilichomuumiza?hakuwa kama Tegete aliyekuwa anatamani kulia..ooh Asante Mliotuonyesha mpira Live
Steve wa Yanga alisema atajinyonga sijui
yupo hai ama kafanikisha azma yake.
Hata sare mnashangilia?
asanteeeh!Sisi Tunashangilia uwezo wa Timu wa kurudisha goli zote 3 na kutawala mpira kipnd chote cha pili! Bila shaka hata ww umefurah
Yanga ni time ya waswahili haina malengo kwakuwa inaongozwa na wazee wa vijiweni wanaendekeza njaa kazi kahawa!!Yaani Yanga ni timu ambayo kamwe haina
malengo nadhani kule walikokwenda
wakadhani Simba inatabirika
Wamejishangaa mpaka wakawa wanaziba nyuma