stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Humud katuchelewesha ushindi, mapema tuu angetolewa maana mzito halafu anajigongagonga tuu.View attachment 117594View attachment 117595
Mnayo haki Mkuu, mie nimesikitika kuhusu hii timu yangu ya Yanga, tunapenda sana kucheza na vyombo vya habari, magazeti yametufanya tujisikie tumeshinda, wamefika uwanjani wachezaji walionyesha dharau hasa baada ya kupata magoli matatu wakaona atayari mpira umeisha, mbaya zaidi Simba wamerudisha goli tatu upande ule ule tuliowafungia, niliogopa kuwa tungefungwa la nne. Yanga tumezidi kucheza na magazeti, kila wakati ni misifa tu bila kuzingatia sifa ni ushindi, ni aibu sana kwa kocha na wachezaji kuruhusu magoli yote matatu kurudi. Najua Barthez atasingiziwa amambo kibao, na usishangae hata Ngasa akasingiziwa mengi kuwa kajihami kujifanya kufunga mapema na baadaye akaenda likizo bila jitihada. Ukweli nimeumia mpaka nimeshindwa kwenda kubeba mabox, najiona kama tumefungwa vile!Kha ha ha ha ha ha haaaaa! Mkuu yani hakika ni full shangwe kwa Wanamsimbazi woteeeeee!
Hawa vijana wa Simba kweli leo wamenifurahisha sana.
Hawa vijana wa Simba kweli leo wamenifurahisha sana.
wametoka sare saresimba imeshinda ngapi?
asiyekubali kushndwa si mshndani! Saf manMpira yanga walionyesha leo ni mkubwa sana wameonyesha kweli wanaweza iwakilisha afrika, matokeo haya ni sehemu ya mchezo
karoga huyo hawawez kumtoa!huyu kuna siku atapageuza pale msimbazi westgate, we need a native chairman but not this buffoon.
mnyama unyamanikumbe ndio matokeo hayo? Simba hoyeeee!
mnyama unyamanikumbe ndio matokeo hayo? Simba hoyeeee!
hahahahaha! Hii kweli hata mimi nimecheka hahaha!Humud katuchelewesha ushindi, mapema tuu angetolewa maana mzito halafu anajigongagonga tuu.View attachment 117594View attachment 117595
mnyama noma!siku ya leo nimeshangweka mpaka basi, Simba noma sana aisee.
anazidi kuongeza stressChezea Simba weye!!! Wapi Yusufu Manji?