New Manase
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 294
- 39
- Thread starter
- #41
kuna m2 humu ndani alisema yanga isiposhnda anameza kisuNa yule Steve wa Yanga aje JF ili alie vzr
kuna m2 humu ndani alisema yanga isiposhnda anameza kisuNa yule Steve wa Yanga aje JF ili alie vzr
ujue simba bana wanapenda mashabiki wao ndo mana hawaja2angusha!Simba hureeeeeee...Siku ingekuwa mbaya sana leo...lakini madogo wamefanya mambo. Hongereni pamoja na benchi lenu la ufundi. Na Nyie Yanga, mfanyeje ili mshinde mechi dhahiri kama ya leo????
sipati picha leo ingekuwa 7-0Sijui angekuwa kaseja leo golini yangesemwa nni? Hongera batez
haiwezekani shabiki wa simba akafunga safari bure bure 2 kwenda uwanja wa taifa!Simba leo imenipa raha za ajabu...
Hata sare mnashangilia?
ASAntEEeeeeeh!Hatushangilii sare tunashangilia ujinga na uzembe wa YANGA
wa2ache na simba ye2 hahaha!Nahisi kibadeni na julio walifanya kazi kubwa sana half time kuwajenga vijana kisaikolojia big up vijana mmeonesha mnaweza ni woga tu ule wa mwanzo!
Ni timu chache zinazoingia kwenye rekodi ya back 4rm behind kwa goli 3 nazo ni barcelona,liverpool,man utd,newcastle and SIMBA SPORTS CLUB
Ni timu chache zinazoingia kwenye rekodi ya back 4rm behind kwa goli 3 nazo ni barcelona,liverpool,man utd,newcastle and SIMBA SPORTS CLUB
Hatushangilii sare tunashangilia ujinga na uzembe wa YANGA
Asubuhi hii nimemsikiliza jamaa mmoja toka Clouds FM akiwafananisha na Alizeti zilizopigwa na jua Mashabiki wa Yanga na Jezi zao pale uwanjani jana mara baada ya Simba kusawazisha Mabao yote.Yaani Yanga ni timu ambayo kamwe haina
malengo nadhani kule walikokwenda
wakadhani Simba inatabirika
Wamejishangaa mpaka wakawa wanaziba nyuma
unajua waliamini tano zinarudi, huo ndio ushindi mwingine wa simbakinachoshangiliwa hapa si ushindi, bali ni yanga kunyimwa ushindi (ambao walikuwa wanakekea kuupata ..).
ni timu chache zinazoingia kwenye rekodi ya back 4rm behind kwa goli 3 nazo ni barcelona,liverpool,man utd,newcastle and simba sports club
asubuhi hii nimemsikiliza jamaa mmoja toka clouds fm akiwafananisha na alizeti zilizopigwa na jua mashabiki wa yanga na jezi zao pale uwanjani jana mara baada ya simba kusawazisha mabao yote.
wa2ache na simba ye2 hahaha!