Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Ningekuwa na uwezo ningemwambia Niyonzima aende zake Ulaya tu,hapa Yanga wanamzingua tu
 
naona yanga wanaona litaongezwa huku simba wanajua washashinda raha kweli..😛oa😛oa
 
Kona ya yanga haijazaa matunda ila wanafanya mashambulizi mazuri, simba wameanza kuzidiwa
 
huyu edward 19 wa simba asipopata red sijui labda wamtoe..
 
Mashabiki wa simba tupige magoti tuanze kuiombea tim yetu kwa kuwa upepo sio mzuri kwetu wachezaji wetu wanajiangusha bila mpango. Yanga wamemuingiza kiiza
 
Kiiza anatoka Domayo anaingia sijui kama ni sub sahihi
 
naona yanga tunaonana kiasi. Hii inatia moyo.
 
Back
Top Bottom