Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Half time...ila kiukweli simba wana nafasi ya kuondoka na point zote 3...kingine mpira hauonekani vizuri, kutokana na rangi yake, cku nyingine watumie mweupe. Huu wa njano unataka kufanana na rangi ya pitch. Mi naangalia super sports 9
 
Next time watatumia mpira mwekundu.
 
Half time...ila kiukweli simba wana nafasi ya kuondoka na point zote 3...kingine mpira hauonekani vizuri, kutokana na rangi yake, cku nyingine watumie mweupe. Huu wa njano unataka kufanana na rangi ya pitch. Mi naangalia super sports 9

sie wa Star Tv alaaa mpira unaonekana mweupeee si unajua DSTV ni HD?
 
Yanga wanajitahidi sn kucheza ofside hata goli lao ni la ofside
 
....5-0 inaendelea kubaki kuwa Historia; Yanga kulipa kisasi ni ndoto.
 
Back
Top Bottom