Simba vs Tiger

Yani hawa tiger wangepunguza hata idadi ya simba wangebaki wenyewe
 
Nimetoka kutazama mpambano wa tiger na simba huko youtube, Simba kajeruhiwa zaidi ila tiger kakata pumzi amebaki amelala tu hawez hata kuinuka.

Simba kaamua kuondoka zake hapo sijui nani sasa kashinda pambano

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa hapo juu amedai full documentary ya hii video ni kuwa Tiger alikata moto japo Simba nae hakuishi muda refu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi ungeishia hapa, labda wabishi tu ndo watapinga hii hoja
 
Mkuu weka link

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora uwaambie vijana wa maghorofani. Wanamfananisha simba na tiger. Na wakati tiger hata mziki wa African Leopard haugusi huyo tiger. Wangewauliza watu wa game reserve na tanapa wawaeleze kuhusu hawa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Its obvious kwa Africa watu wa game watakwambia simba ndo mbabe maana Tiger hapatikani mapori ya huku. Ila pia ukiwahoji zaidi watakwambia porini nyati ndo kisanga na ndo maana kofia zao zina kichwa cha nyati
 
Lion vs Tiger

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu tiger
nae basha kweli sasa mbona kama anamnusa simba
kinyeo, alikuwa anataka kumpanda au!!
🤣

Yote 9 nimeona tiger ana mapigo ya mayweather anapiga kazaa halafu anakimbia.

Kwa dakika hizi chache mie jaji mkuu wa kujivika ujaji mkuu nampa tiger ushindi wa pointi 99 kwa 3 katika pambano hili!

Naomba mlete pambano jingine tafadhali.
 
Mkuu hebu ingia YouTube uangalie mapambano ya porini sio huyu simba anaefanya photoshoot.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbwa mwitu sio jamiii ya paka yule ni jamii ya mbwa so sifa na mtindo wao wa maisha ni tofauti,ndo maana kuna family mbili Felidae-Cat-like and Canidae-Dog-like
 
Simba,
King of the Jungle.


Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…