Simba vs Tiger

Umeanza na tiger umemaliza na chui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tiger kwanza linawinda peke yake,hii ni kanuni mbaya sana.

simba mazingira mengi ukiona anawinda peke yake basi ataishia kukama nyani,fisi wagonjwa,na watoto wa nyumbu ni dalili kwamba amechoka.

huyo tiger si tu kwamba ni jasiri,lakini pia anajiamini kupitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nakusifu kwa uchambuzi

Pili naposema TIGER hua namaanisha yani sibahatishi, ingia chimbo tena uangalie TIGER anapomkabili mamba
 
umenikumbusha mtaalamu mmoja wa wanyama pori alishawahi kusema kua simba ili kumuua tiger wanatakiwa wawe kundi

Kati ya pambano lilohusisha Tiger 12 dhidi ya Simba 16 ambalo lilidumu takribani dakika 25 TIGER watatu walikufa katika pambano hilo

Ila kuna kubwa kuliko ambapo tiger mmoja aitwae GUNGA aliua SIMBA wapatao 30
 
Watu wanashindwa kutofautisha alegator, caiman na croc.

Wale jaguar anaua ni caiman na sio croc.

Vile ni vi kenge ila mamba haswa hule jamaa hawezi kujaribu hata kwa dawa.
 
Kazi zote anamaliza shem kalenga, hatar sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana Unaandika kwa kulinganisha kwy YouTube. Ngoja nikupe hii nimekwambia simba ana msuli na mfupa mzito na kichwa kikubwa kulinganisha na Tiger. Tiger ana 320kg na simba ana 250kg. Simba ana msuuli mzito na fighting ya hali ya juuu. Wanyama wanaokula nyama wana fighting ya hali ya juuu tofauti na wala majani. Hawa Paka wote ukija kwy mashambulizi Simba anakuwa king of the Jungle kwa sababu ya uvumilivu wa kupambana na swala la kussema kwamba tiger anakula tembo izo ni chumvi labda wale tembo wa India ambao wanawatumiaga kupanda kama farasi. Toka mjini uende mbugani ukamshangae simba sio kumsifia huyo tiger ambae hata kwa macho ujamuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harafu mtu anamfananisha Simba na Tiger, Tiger angeweza simamia hiyo ngoma kwa masaa 4? Achana na masaa 4, masaa lisaa limoja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba gani anaekaa kwenye jungle mkuu?

Mkuu kuna wanyama wawili wana ukubwa sawa
1. Ana kilo 360
2. Ana kilo 250

Inakuwaje wa kilo 250 anakuwa na muscle kuliko wa 360 hali ya kuwa umbo ni sawa hebu leta sababu hapa. Maana naona unadanganya mchana kweupe.

Na toka nimeandika sijaweka link ya youtube hata 1 usiforce ninavyoandika vinatoka youtube.
 
Big game?

Halafu watoto amuachie nani?

Kazi za uwindaji zinasimamiwa na jike halafu kwenye hiyo big game haifanywi na simba mmoja labda kama akikutana na kinda la nyati

Umeongea point kamanda...simba hawezi winda peke yake bila kuwa wa4 mpaka wa5,6...na huwezi kuta anawinda alone, ndio maana huwa wanatembea whole family ..wakati chui, tiger, panther and jaguar mara nyingi wana winda wakiwa wawili ama mmoja tu.


Tiger wangelikuwa wanaishi mbuga zetu wangewinda aina zote za wanyama mpaka mamba.
.
 
Big game?

Halafu watoto amuachie nani?

Kazi za uwindaji zinasimamiwa na jike halafu kwenye hiyo big game haifanywi na simba mmoja labda kama akikutana na kinda la nyati

Umeongea point kamanda...simba hawezi winda peke yake bila kuwa wa4 mpaka wa5,6...na huwezi kuta anawinda alone, ndio maana huwa wanatembea whole family ..wakati chui, tiger, panther and jaguar mara nyingi wana winda wakiwa wawili ama mmoja tu.


Tiger wangelikuwa wanaishi mbuga zetu wangewinda aina zote za wanyama mpaka mamba.
.
 
Mkuu siyo kwamba hapo inategemeana na aina ya mnyama anayewindwa?

Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..
 
Huenda video nyingi tiger zitaonesha Tiger anakimbia. Tiger ni mwepesi mno, yupo flexible, anajinyambua kwa kila namna. Simba ni heavy machine, na angepewa uflexible huenda mbugani wangeishi wao na jamii zingine chache.

Simba sio rahisi kukimbia, hata akikuta anatafuta nyati kisha nyati akaja akaokolewa na wenzie, utamuona Simba bado anaranda randa, huwa hakubali ngoma iishe kirahisi pasipo kuondoka na kitu.

Tiger ni tofauti kabisa, hawezi kuhimili shughuli nzito kwa muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…