Kale katiger kanarukaruka kama paka wa mgahawani uje umweke meza moja na simba? Watu hawapo serious, bora mkuu umeeleza.Kweli kabisa mkuuu. Nakuongezea kwamba Tiger vs African Leopards. Nakuhakikishia huyo tiger anakimbia pambano, wanyama wa apa Africa ni Habari nyingine ukimletea hao wa uko anawapiga mapema. Wanyama wa apa Africa ni hatari sana. Hata awa Nile Crocodile ni Habari nyingine. Chui wa apa Africa akikutana na tiger anampiga kwa sababu ana uwezo wa kuluka na kumshambulia huyo tiger, kitu ambacho tiger ana uwezo mkubwa wa kuluka kama African leopards. Sasa huyo Africa leopard hawezi pambano na simba, Kumbuka simba dume analinda ktk Pride yake madume wasishambulie na anapambana na madume 4 yanayotafuta utawala wa Kupata umiriki(Pride). Simba ni mashine nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahahahhatulishudia timbwili la kiboko na simba nakumbuka show tulikua tunafukuza ndege kipindi cha mpunga unachua asikuambie mtu tulikua juu ya kibanda asikuambie mtu kiboko na kifaa cha kazi!Simba sijiu alijitela vipi mpaka akamzingue kiboko ulipigwa mkono kama masaa 4 hivi mashamba yalivurugika ndege walihama mazima baada yakuona kuona ukimya tukaa tena kama msaa2 hivi ndio wazee wakashuka kwenda kucheki waliovyoona usalama tukaitwa nilichoka sana wale jamaa walinyofoana sana nyama mzee simba mpaka anarudisha namba kwa muumba mkono 1 tuliukuta kama mita 20 hivi nje ya ulingo kiboko hakua na jicho 1 ile vita ingekua zama hizi za smartphone ingekua na la kuonyesha mechi ilisha simba 0-kiboko 0 ila sijajua nani alieanza kuka roho
Leopard ni mwepesi na very aggresive.Bora uwaambie vijana wa maghorofani. Wanamfananisha simba na tiger. Na wakati tiger hata mziki wa African Leopard haugusi huyo tiger. Wangewauliza watu wa game reserve na tanapa wawaeleze kuhusu hawa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Naomba. Nijibu hizi hoja kidogo, mkuu.
Kwanza, yule unaye ona anaopolewa katka maji, si mamba, ni jamiii za mamba. Hawapo na nguvu sana, wala ubabe mwingi. Ukikutana na mimamba yenyewe, humtoi katika maji.
Pia yule unasema anaye mchomoa huyo mnyama jamiik ya mamba, si tiger. Jaguar ndio huwa ana ubabe huo.
Twende sasa, kuhusu simba.
Ukiangalia life style simba sio kweli kuwa simba dume hajui kuwinda au kula kulala, jamaaa anakazi nyingi sana, kuhakikisha jike wake na pride ipo salama. Simba dume, ana teka na kumiliki himaya na utawala, hapo anaweka mipaka na hukagua mipaka yake, kumhakikishia mkewe aman akawinde alete nyumbani. Hiii tunasema, Baba nipe ulinzi, na faraja nikupe Chakula na penzi.
Simba dume, hapo tunasema anakula mafao yake tu, ni kama mfanyakaz akisha fanya kazi miaka mingi na kustaafu, anakaa home ana kula mafao. Simba dume akifika wastan wa miaka miwili, Hufukuzwa kwao na kuanza kuwinda na kujitafutia yeye kama yeye Man alone, kwa hiyo hiko hakafukuzwa, hukaaa sana karibh na mama kujifunza kuwinda. Kipindi ambacho, ukimuangalia huweza kuhisi ni jike, maana anakuwa hana Zile nywele, labda uchunguze via vya uzazi. So, sio kweli kwamba dume hajui kuwinda.
Pia ktk hiii pride, ikitokea mawindo yamekuw magum, wanyama ana nguvu sana. Baba lao, huwenda kuset kitambo na kuongeza nguvu, kama kawaida.
Simba mmoja, Tiger mmoja hawezi mchomoa mamba kwenye maji, mbabe wa mamba kwenye maji ni kiboko peke yake. Ngoja nipunguze maneno nijibu hoja ya mtoa mada
Simba na Tiger, nani bingwa???
Katk kulinganisha wanyama, huangalia nguvu ya mnyama kiasili na kimaumbile yao. Simba nguvu yake na maumbile ni kubwa kuliko MBWA. Hii huja automatically simba anapiga MBWA. Lakin Tiger naye yupo vziur ana nguvu na nin mkubwa.
Nani mshindi, ?? Inategemea kwa hali ya mmoja mmoja yupojs walipo kutana?? Mbinu alizo adopt ktk mawindo na mapigano.
So, simba anaweza kalishwa na tiger, tiger anaweza kalishwa na simba. Kutegemea na hali zao kwa wakat huo
Kale katiger kanarukaruka kama paka wa mgahawani uje umweke meza moja na simba? Watu hawapo serious, bora mkuu umeeleza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umehama kutoka kwa Tiger kwenda kwa Chui.Kwa mimi naona tiger is better
Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui
Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole
Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu
Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
Acha ujinga unamjua alligator wewe?? Urefu wa Mdomo wa alligator tu unalingana na mwili mzima wa mambaSidhani kama uko sahihi huyo unaemsema wewe anaitwa jaguar [emoji249] anapatikana marekani ya kusini huyo unaemuita mamba ni alligator [emoji246] ... tiger kwa asili anapatikana Asia ... na kwa taarifa tu hakuna mnyama anaeweza kufanya huo upumbavu wa kuwinda mamba mtoni ( the strongest bite on earth [emoji288] ) Hakuna mnyama anaeweza kuwinda hawa jamaa nile crocodile au salt crocodile labda alligator they’re more like lizards than mazafaka crocs
We hivi hizi statistics mnazitoa wapi?Unajua huyo simba alikuwa na ukubwa gani? Maana kama alikuwa simba mdogo au simba jike ni lazima apigwe na Tiger.
You tube ndo msema kweli maana mapambano mengi kati ya Tiger na simba 90℅ ushindi uwa unaenda kwa Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko pia nimehama, niko kwenye simba vs masai
Acha mikwara ya simba anayeunguruma wakati nyuma kaufyataAcha ujinga unamjua alligator wewe?? Urefu wa Mdomo wa alligator tu unalingana na mwili mzima wa mamba
Najua ni nje ya mada lakini umeicheki avatar yangu mkuu?
Simba ana nguvu hizo?Huyo sio tiger...
Tiger hana nguvu hizo.
Ww unamzungumzia Jaguar
Simba ana nguvu hizo?
Yaani hapa umechukua sifa za jaguar ukatuchanganyia za leopard ukampa tiger japo kwa upande wa nani mkuu wa battlefield uko sahihi. Tiger ndo mnyama mkubwa kuliko wot kwenye jamii ya paka na porini ukubwa unaamua nani mfalme. Kiukweli tiger akitangaza bifu na simba porini, simba lazima ajikabidhi kituo cha polisi cha karibu kulinda uhai na heshima yakeKwa mimi naona tiger is better
Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui
Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole
Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu
Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
Hilo halina ubishi masai anapiga simbaHuko pia nimehama, niko kwenye simba vs masai
Hivi wakuu ninyi mnamzungumzia mamba yupi?Tiger ananguvu nyingi kumzid simba. Pia mawindo yake uwaga heavy ile mbaya anambananisha ad mamba na anatulia analiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa tanapa haimaanishi unawajua siberian tiger, na wewe kuwa tanapa pia hakukufanyi uwe sahihi.Mimi nipo apa Tanapa usinibishie kijana wa maghorofani. Africans Lions, Africa leopards, African Buffalo, Africa elephants and African rhino hawa wanyama ni Habari nyingine. Ndio maana Nimekuuuliz umeshaona simba, chui, nyati, tembo na kifaru anafugwa na unaenda kumshika kama huyu Tiger. Huyu tiger kuwa na uzito Mkubwa haimaanishi kupambana ni sawa na kuchukua mnyanyua vyuma na mcheza kareti. Africans leopards na tiger. Tiger hamuwezi hata kwa sembuse hawa wanyama wanashambulia hatari sana. Hao wanyama wa kwy movie usiwahhsishe na iyo big five.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie hammjui alligator... Wale wadudu wanakula hadi mambaAcha mikwara ya simba anayeunguruma wakati nyuma kaufyata
Avatar ina nini hiyo?
A Town ???[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Wanangu wa A town inakuaje??