Simba vs setif live hapa

Simba vs setif live hapa

Kwa mwenendo huu wa mechi nina wasiwasi Simba wanaweza kupigwa KIKUNDI cha magoli hapa. Beki haitimizi majukumu kabisa...
 
Ni Simba hawa hawa waliompiga Es Setif 2 - 0 juzi juzi au Rage amepeleka Paka badala ya Simba?
 
sasa uhai umerudi. walikosea kuanza kulinda mapema mno
 
Piga maviongozi ya ccm yapo humo ndani yacha yapigwe kumi
 
Tmk! 3-0...oooh! Kuna haja gani kumgharamia mchezaji aina ya Nyoso then akafanye upuzi huo.?!...mi chama langu Newcastle wameshinda 2-0 dhidi ya swansea.
 
wachezaji wa simba bado wanashida sana , sijui tatizo nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom