Simba vs setif live hapa

Simba vs setif live hapa

Simba mbele hamna watu, na sioni tena kama wana mipangilio na ushambuliaji.
 
Simba wamejitahidi bahati siyo yao. Dhambi ya ku-engineer Yanga wapokwe pointi 3, Mungu ameshusha laana Msimbazi, Yanga watulie waje wampe kipigo kingine.
 
Wametucheka sana, wametukatia rufaa kwa kushirikiana na costal plus azam tumepokwa point 3, ndo malipo yao wanamsimbazi. simba oyeee
 
simba wanapata goli hapa okwi anapiga shuti kali mita 25
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom