Simba vs setif live hapa

Simba vs setif live hapa

hongereni wana msimbazi.Mmetupa raha watz.Lakini Kazi iliyo mbele yenu ni kubwa zaidi.Group stage.Fanyeni maandalizi ya kutosha.Simba taifa kubwa oyeeee.
 
Unakumbuka kombe la dunia 2006 Zidane alipompiga kichwa Marco Materrazzi na refa hakuona tukio hilo?
Nilkuwa bado mudogo enzi hizo, hivyo sikumbuki. Nimeuliza kwasababu inaonekana kadi nyekundu iliyotolewa, refa hakuona faulo, akaenda kuteta na mshika kibendera kisha akatoa maamuzi kulinga na kauli ya mshika. Ila nakumbuka kombe la dunia 2010 Kaka(kama sikosei) wa Brazil alisingiziwa na refa akatoa kadi nyekundu kwa utatanishi, kama refa angeweza kuongea na mshika kibendera uenda Kaka asingetolewa. Nilivyojua ni kuwa refa kwenye maamuzi aulizi mtu, kama hajaona basi tena. Sasa leo kulikoni?
 
hureeeeeeeeeeeeeeeeeee chezea mnyama weye utaloa!!

simba.jpeg
 
[video]http://www.golofan.com/es-setif-vs-simba-3-1-les-buts/14622/[/video]

Mona kama Offside vile eeh!
 
Ukiangalia vizuri mkanda huo ..mfungaji alipopata mpira kuna wachezaji wa Simba walikuwa wamevuka mstari nwa ngome ya Setif na alipoanza kuambaa nao na kuwalamba chenga walinzi setif wakijirekebisha ..halafu alipoachia kombora mchezaji wa Simba alisubiri mpira ukampita ndo akautokea. lakini tayari shuti la mfungaji lilishatoa jibu...Hongereni Simba!!!
Kuna ndugu mmoja kwenye uzi kasema " foreign legion imnewaokoa simba... nadhani aangalie ligi zingine duniani... Messii wa Barcelona (Hispania), van Parsie wa Arsenal,( England) Eto wa Makhakhachala ( Urusi) na wengine...kwenye Klabu mbali mbali duniani... si wazawa wa nchi hizo lakini wameajiriwa na timu hizo kuzipigia kibarua cha kucheza na kufunga magoli.. kamwe mabao wanayofunga si ya nchi walizotoka bali ya Klabu zilizowaajiri.... Nchi wazilotoka hazina pesa walizozifuata kwenye kalbu wanazochezea!!!!!!!!

Hivyo hivyo Klabu nyingine zinamilikwa na raia wa nchi nyngine.lakini wamiliki hao hawawezi kuzihamishia kwenye nchi walikozaliwa... bado zinabaki ni Klabu za nchi zilipoanzishwa na kusajiliwa... Mpango huu ndo unaoleta hamasa(PASSION) kwenye mchezo na Kuleta raha na UMOJA na MSHIKAMANO na Kufanya Dunia kuwa MOJA!!!
 
huyo MTU LAZIMA AWE HAJUI MPIRA HATA NUKTA!
VILABU VINAVYOSONGA MBELE LEO HII KWA WACHEZAJI WA NYUMBANI NI VYA KUTAFUTA!! Na clabs kubwa karibu zote zinakuwa na stars wageni tu!
 
Mtapanda ndege mwaka huu mpaka mchoke. Safi sana. Hii miyanga ilikuwa inaninyima raha humu jamvini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom