Simba vs setif live hapa

Simba vs setif live hapa

Kwangu matangazo yamekatika, wanaswali sasa. Kuna update zozote?
 
naona tumewekewa swalaa hapa tubirie kidogo
 
Mkuu Palalisote mbona jamaa wanaweka misikiti sasa, au kwa sababu wameishapata magoli yao matatu hawana time na sisi?
 
Teh teh teh teh.
Raaaaaaaahaa!bado 2.
Raha utamu.
Hiyo ndio simba bana aka wazee wa ALGERIA...........
 
simba vilaza tu!acha wafungwe ili rage aache keherehere.
 
mpaka sasa naona 3- 0 duuuuuuuuuuuu
 
juma nyoso kaigharimu sana simba . hizi bangi hizi sijui inakuwaje. wachezaji wetu hawandaliwi kisaikolojia wanapocheza na waarabu.
 
simba wanapaswa kushambulia wapate angalau goli moja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom